Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hali ilipofika sasa kuhusiana na juhudi za wazungu kutuletea ushoga kwa maraisi wetu wakutane na kutoa tamko la pamoja kuwa mambo ya ushoga hatuyataki na wote wanaojaribu kwa siri na kwa dhahiri kuuleta wakome mara moja.
Tayari tumewasikia Rais Museveni wa Uganda na Ruto wa Kenya wakitoa kauli za wazi kukaa jambo hilo. Inapendeza tumsikie Rais Samia na wengine waliobaki wakitoa kauli kama hizo au kila mmoja peke yake au kwenye kikao cha nchi zetu hizi.
Tuna wanawake wengi wazuri wanatafuta waume sasa hao wanaohimiza watu wa jinsia moja wakae pamoja kama mke na mume wana nia gani kama si ufisadi wa hali ya juu. Ukiondoa hilo masuala haya yamekemewa kwa namna inayotisha kutoka kwa muumba wetu. Kawaida watu wenye kuendekeza upuuzi wala Mwenyezi Mungu hawasubiri wafike akhera, anawaanza hapa hapa na kule ni kutupwa motoni tu.
Je, sisi hatuogopi hayo? Iwapo kuna watu watafanya kwa siri baada ya sisi kusema na kuzuia vyanzo vyake basi itatosha kupunguza adhabu za jumla za Muumba wetu.