Marais na wananchi wa Afrika Mashariki waungane kukataa ushoga

Marais na wananchi wa Afrika Mashariki waungane kukataa ushoga

Mungu alimuumba mwanadamu mkamilifu!nyuma ni kwa ajili ya kunyea tuu si vinginevyo, hao mashoga kwao ni brand gani? Na mtengenezaji nani? Na imesajiliwa wapi?mbele kwa mwanamke kumekosa vitu gani hadi tugeukie wanaume wenzetu? Kataa Ushoga,kataa kinyeo.
Ule ni uchafu wa hali ya juu.Nini anatafuta mtu nyuma ya mwenzake.Humo chumbani kunakalika kweli.
Wazungu wameishiwa na watu wanataka na sisi tuwe kama wao.
 
Bora rais wetu anyamaze tu asizungumzie ushoga hadharani amuachie msaidizi wake wa mambo ya jinsia apaze sauti maana ni aibu kuzungumzia ishu hii ambayo ipo tangu kitambo tu. Haya ni mambo madogo sana viongozi wa dini na mila wanayaweza, wakishindwa hata serikali nayo itashindwa
 
Hali ilipofika sasa kuhusiana na juhudi za wazungu kutuletea ushoga kwa maraisi wetu wakutane na kutoa tamko la pamoja kuwa mambo ya ushoga hatuyataki na wote wanaojaribu kwa siri na kwa dhahiri kuuleta wakome mara moja.

Tayari tumewasikia Rais Museveni wa Uganda na Ruto wa Kenya wakitoa kauli za wazi kukaa jambo hilo. Inapendeza tumsikie Rais Samia na wengine waliobaki wakitoa kauli kama hizo au kila mmoja peke yake au kwenye kikao cha nchi zetu hizi.

Tuna wanawake wengi wazuri wanatafuta waume sasa hao wanaohimiza watu wa jinsia moja wakae pamoja kama mke na mume wana nia gani kama si ufisadi wa hali ya juu. Ukiondoa hilo masuala haya yamekemewa kwa namna inayotisha kutoka kwa muumba wetu. Kawaida watu wenye kuendekeza upuuzi wala Mwenyezi Mungu hawasubiri wafike akhera, anawaanza hapa hapa na kule ni kutupwa motoni tu.

Je, sisi hatuogopi hayo? Iwapo kuna watu watafanya kwa siri baada ya sisi kusema na kuzuia vyanzo vyake basi itatosha kupunguza adhabu za jumla za Muumba wetu.
UKO SAHIHI,

LA KUONGEZEA, WAZUNGU SIO WANAOLETA USHOGA, WAO NI WATETEZI.
MALEZI NA MAKUZI YA WAZAZI WA SASA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA USHOGA.
BADALA YA KUSUBIRI TAMKO KUTOKA KWA MARAIS, WA EAST AFRICA. KILA MTU APAMBANE NA WATOTO WAKE, WATU WA KWAKE HUKO.
USHOGA UNASTAWI KWA SABABU NI SISI SISI RAIA TUNAWAPA NAFASI YA KUSTAWI.
1.SHOGA ANA PAGE SOCIAL MEDIA NA INAWAFUASI WENGI
2.SHOGA ANAKWENDA SALUNI YA KIKE NA ANAPOKELEWA VIZURI KAMA MWANAMKE MWENZAO
3.SHOGA ANA ALIKWA NA KUWA MC KWENYE SHUGHULI ZA WENYE MAJINA NA WATU MAARUFU
4.WALE WALE WANA MUZIKI WENYE KU PTOMOTI USHOGA NDIO HAO HAO WANATUMIKA MAKANISANI/MISIKITINI NA MAJUKWAA YA SIASA WAKATI WA KAMPENI, NA WANA MIALIKO MPAKA BUNGENI.
HAPA MZUNGU NAINGIAJE?
 
Waambie wachague moja: wakatae ushoga au wakatae mikopo, Mimi nahisi shida iko hapa
 
Umewahi kuzima moto badala ya kuzimika ndio kwanza unauchochea uwake zaidi. Kwa nini ishu ya ushoga inakuzwa sana? Kuna nini nyuma yake, mbona ushoga upo kitambo tu?
Na mie nashangaaa hapo, kwan ushoga ni jambo jipyaa?? Si upo tangu zamani.
 
nguvu mnazoziweka kwenye kataa ushoga zingelikuwa zinawekwa kwenye uzalishaji mali, tungelikuwa mbali. Ushoga unakuzuia nini katika mafanikio yako ya duniani kabla hujafa? Kukataza ushoga kunalindaje haki zako zinazopolwa na serikali hii? Kunalindaje elimu ya watoto wako? uzee wako , bima yako ya afya etc etc.
Tuelekeze nguvu kwenye mambo yanayotufanya tuishi duniani kama watu na si watumwa!

(TAKE NOTE: SIKUBALIANI NA USHOGA, IT IS IMMORAL TO OUR CUSTOMS AND RELIGIONS, LAKINI HAKUNA HAJA YA KUELEKEZA NGUVU ZETU KATIKA KATAZA HILO)
Bora usemee wee, huenda watakuelewaaa lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ule ni uchafu wa hali ya juu.Nini anatafuta mtu nyuma ya mwenzake.Humo chumbani kunakalika kweli.
Wazungu wameishiwa na watu wanataka na sisi tuwe kama wao.
Mzungu gan anaetaka Wa Africa wawe km wao?? Au Wa Africa mnawazidi nn wazungu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie watu mmevurugwaaaa khaaaaaaah
 
Waambie wachague moja: wakatae ushoga au wakatae mikopo, Mimi nahisi shida iko hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikopo na misaada wanaitakaa tena wanapiga hadi magoti wakati wa kupokea na kushukuru, ila Ushoga hawautakiii.

Ukitaka kula sharti uliwe. DJ waleteeeeeeeeee
 
Huu utakuwa ni upuuzi, rais aache kuzungumzia mambo ya msingi azungumzie ushoga? Viongozi wa dini wakapambambane nao maana ndio kazi yao. Mbona ukahaba na uvunjifu wa ndoa haupigiwi kelele wakati nao ni mmomonyoko wa maadili? Ndoa zinavunjika mchana kweupe na kuacha watoto wakilelewa na mzazi mmoja au walezi wa ajabuajabu, unategemea hao watoto wakue katika malezi gani?
 
Kuna hili bay zaidi la dini. Mapadre wanazaa, wanawajengea wanawake nyumba wakae na watoto waliowazaa ufichoni. Askofu Ruwaichi anayajua haya lakini anapiga kimya. Nao ni mmomonyoko wa maadili tena mbaya sana kwa mtu aliyeaopa kuwa hatafanya hivyo.
Wachungaji fake tunawaona kila leo, mara mafuta ya upako, mara maji ya upako. Ni wizi wa mchana kweupe, hawalikemei hilo! Wanaona ushoga tu!
 
unafiki umekuwa mwingi sana. Subirini ifike pasaka na idd mtasikia viongozi wa dini watakapokuwa wakitoa matamko ya kinafiki kuhusu ushoga kana kwamba ni ugonjwa wa mlipuko
 
Zanzibar haitakataa
Screenshot_20230303-130044.jpg
 
Ushoga ukiwepo kisiri hatuna jukumu nalo.Lakini huu wa kuhamasishwa ili uwe jambo la kawaida lazima tuwe wakali na bunge litunge sheria inayotamka wazi wazi bila kumuogopaj yeyote. Museveni amekuwa muwazi sana unaona hivi hivi anachukia. Anasema sisi ni nchi tajiri sana hatuna haja na misaada yao kwa sharti la Ushoga.Tena anaipasha Amerika.
hiyo sheria labda itungwe kisisiri nchi wahisani zinazotoa misaada nchini ambazo zinaunga mkono ushoga zishiione huu upepo unaovuma kwa kasi utapita na jambo jingine la taharuki litaibuliwa. Ushoga tuupotezee kimyakimya
 
UKO SAHIHI,

LA KUONGEZEA, WAZUNGU SIO WANAOLETA USHOGA, WAO NI WATETEZI.
MALEZI NA MAKUZI YA WAZAZI WA SASA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA USHOGA.
BADALA YA KUSUBIRI TAMKO KUTOKA KWA MARAIS, WA EAST AFRICA. KILA MTU APAMBANE NA WATOTO WAKE, WATU WA KWAKE HUKO.
USHOGA UNASTAWI KWA SABABU NI SISI SISI RAIA TUNAWAPA NAFASI YA KUSTAWI.
1.SHOGA ANA PAGE SOCIAL MEDIA NA INAWAFUASI WENGI
2.SHOGA ANAKWENDA SALUNI YA KIKE NA ANAPOKELEWA VIZURI KAMA MWANAMKE MWENZAO
3.SHOGA ANA ALIKWA NA KUWA MC KWENYE SHUGHULI ZA WENYE MAJINA NA WATU MAARUFU
4.WALE WALE WANA MUZIKI WENYE KU PTOMOTI USHOGA NDIO HAO HAO WANATUMIKA MAKANISANI/MISIKITINI NA MAJUKWAA YA SIASA WAKATI WA KAMPENI, NA WANA MIALIKO MPAKA BUNGENI.
HAPA MZUNGU NAINGIAJE?
Inakuwaje hujaona nafasi ya maraisi katika hili. hIzo media na tv na wanamuziki ni serikali pekee kwa kutumia vyombo vya dola ndio wanaowaweza.Na vyombo vya dola havitopata nguvu mpaka kuwe na sheria yake na raisi ahimize kutumika sheria na vyombo hivyo.
 
Back
Top Bottom