Marais na wananchi wa Afrika Mashariki waungane kukataa ushoga

Ule ni uchafu wa hali ya juu.Nini anatafuta mtu nyuma ya mwenzake.Humo chumbani kunakalika kweli.
Wazungu wameishiwa na watu wanataka na sisi tuwe kama wao.
 
Bora rais wetu anyamaze tu asizungumzie ushoga hadharani amuachie msaidizi wake wa mambo ya jinsia apaze sauti maana ni aibu kuzungumzia ishu hii ambayo ipo tangu kitambo tu. Haya ni mambo madogo sana viongozi wa dini na mila wanayaweza, wakishindwa hata serikali nayo itashindwa
 
UKO SAHIHI,

LA KUONGEZEA, WAZUNGU SIO WANAOLETA USHOGA, WAO NI WATETEZI.
MALEZI NA MAKUZI YA WAZAZI WA SASA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA USHOGA.
BADALA YA KUSUBIRI TAMKO KUTOKA KWA MARAIS, WA EAST AFRICA. KILA MTU APAMBANE NA WATOTO WAKE, WATU WA KWAKE HUKO.
USHOGA UNASTAWI KWA SABABU NI SISI SISI RAIA TUNAWAPA NAFASI YA KUSTAWI.
1.SHOGA ANA PAGE SOCIAL MEDIA NA INAWAFUASI WENGI
2.SHOGA ANAKWENDA SALUNI YA KIKE NA ANAPOKELEWA VIZURI KAMA MWANAMKE MWENZAO
3.SHOGA ANA ALIKWA NA KUWA MC KWENYE SHUGHULI ZA WENYE MAJINA NA WATU MAARUFU
4.WALE WALE WANA MUZIKI WENYE KU PTOMOTI USHOGA NDIO HAO HAO WANATUMIKA MAKANISANI/MISIKITINI NA MAJUKWAA YA SIASA WAKATI WA KAMPENI, NA WANA MIALIKO MPAKA BUNGENI.
HAPA MZUNGU NAINGIAJE?
 
Waambie wachague moja: wakatae ushoga au wakatae mikopo, Mimi nahisi shida iko hapa
 
Umewahi kuzima moto badala ya kuzimika ndio kwanza unauchochea uwake zaidi. Kwa nini ishu ya ushoga inakuzwa sana? Kuna nini nyuma yake, mbona ushoga upo kitambo tu?
Na mie nashangaaa hapo, kwan ushoga ni jambo jipyaa?? Si upo tangu zamani.
 
Bora usemee wee, huenda watakuelewaaa lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ule ni uchafu wa hali ya juu.Nini anatafuta mtu nyuma ya mwenzake.Humo chumbani kunakalika kweli.
Wazungu wameishiwa na watu wanataka na sisi tuwe kama wao.
Mzungu gan anaetaka Wa Africa wawe km wao?? Au Wa Africa mnawazidi nn wazungu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie watu mmevurugwaaaa khaaaaaaah
 
Waambie wachague moja: wakatae ushoga au wakatae mikopo, Mimi nahisi shida iko hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikopo na misaada wanaitakaa tena wanapiga hadi magoti wakati wa kupokea na kushukuru, ila Ushoga hawautakiii.

Ukitaka kula sharti uliwe. DJ waleteeeeeeeeee
 
Huu utakuwa ni upuuzi, rais aache kuzungumzia mambo ya msingi azungumzie ushoga? Viongozi wa dini wakapambambane nao maana ndio kazi yao. Mbona ukahaba na uvunjifu wa ndoa haupigiwi kelele wakati nao ni mmomonyoko wa maadili? Ndoa zinavunjika mchana kweupe na kuacha watoto wakilelewa na mzazi mmoja au walezi wa ajabuajabu, unategemea hao watoto wakue katika malezi gani?
 
Kuna hili bay zaidi la dini. Mapadre wanazaa, wanawajengea wanawake nyumba wakae na watoto waliowazaa ufichoni. Askofu Ruwaichi anayajua haya lakini anapiga kimya. Nao ni mmomonyoko wa maadili tena mbaya sana kwa mtu aliyeaopa kuwa hatafanya hivyo.
Wachungaji fake tunawaona kila leo, mara mafuta ya upako, mara maji ya upako. Ni wizi wa mchana kweupe, hawalikemei hilo! Wanaona ushoga tu!
 
unafiki umekuwa mwingi sana. Subirini ifike pasaka na idd mtasikia viongozi wa dini watakapokuwa wakitoa matamko ya kinafiki kuhusu ushoga kana kwamba ni ugonjwa wa mlipuko
 
hiyo sheria labda itungwe kisisiri nchi wahisani zinazotoa misaada nchini ambazo zinaunga mkono ushoga zishiione huu upepo unaovuma kwa kasi utapita na jambo jingine la taharuki litaibuliwa. Ushoga tuupotezee kimyakimya
 
Inakuwaje hujaona nafasi ya maraisi katika hili. hIzo media na tv na wanamuziki ni serikali pekee kwa kutumia vyombo vya dola ndio wanaowaweza.Na vyombo vya dola havitopata nguvu mpaka kuwe na sheria yake na raisi ahimize kutumika sheria na vyombo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…