Marais ninaowapenda zaidi

Marais ninaowapenda zaidi

Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir Putin
-Barack Obama
Angalizo::Viongozi hao sijawapenda sababu ya waliyofanya ila tu sababu ya personalities zao...

Karibuni wadau mtiririke
Mbna umechangany nyoka na mbuzi sasa?
 
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir Putin
-Barack Obama
Angalizo::Viongozi hao sijawapenda sababu ya waliyofanya ila tu sababu ya personalities zao...

Karibuni wadau mtiririke
Unaonekana ni mlamba miguu sana
 
1. Sauli Niinistö wa Finland
2. Andrzej Duda wa Poland
3. Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani (Emir, sio president) wa Qatar

Hao ndio waliopo sasa ninaowakubali. Finland hawawezi chagua rais mjingamjinga hata siku moja. Duda wa Poland nakubali misimamo yake hapendi kupelekeshwa na EU kama wanavyopenda kunyanyasa nchi zisizo na utajiri kama Greece. Anazingatia maslahi yao na ana balance between Russia vs West. Hakubali ushoga.

al-Thami labda afatiwe na Mfalme wa Kuwait, ila Waarabu waliobaki wana kasoro nyingi. Qatar iliweza simama dhidi ya blockade ya Saudi Arabia, ina haki, hakuna ubaguzi sana, inawekeza mno na kugawanya uchumi wake usitegemee natural resources tu. Wanaionea wivu sana hao viongozi wengine.
 
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir Putin
-Barack Obama
Angalizo::Viongozi hao sijawapenda sababu ya waliyofanya ila tu sababu ya personalities zao...

Karibuni wadau mtiririke
Mwizi magufuli mbona hayupo?
 
Putin mtesaji, mwonevu, muuaji , mnyanyasaji kuliko jiwe.
Mtu wa hivyo hata afanye jambo gani kubwa simwoni kama ana maana yoyote.
Haiwezekani wewe uishi kwa raha na uhuru halafu wenzako unawanyima uhuru.
Hapo mtoe mweke yule wa Ghana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir Putin
-Barack Obama
Angalizo::Viongozi hao sijawapenda sababu ya waliyofanya ila tu sababu ya personalities zao...

Karibuni wadau mtiririke
1.Baraka Obama
2.Abraham Lincoln
3.NYERERE Julius
 
Back
Top Bottom