Marais Wa Africa na Ushirikina. Chanzo cha kutoendelea nchi nyingi za Afrika

Marais Wa Africa na Ushirikina. Chanzo cha kutoendelea nchi nyingi za Afrika

Sijaona mahusiano ya kutokuendelea kwa nchi za afrika na hizo tuhuma za uchawi,hebu nisaidieni kunionesha mahusiano yake hapo kati ya imani ya uchawi kwa rais na kutokuendelea kwa nchi.
 
Mbona marais Wa tz unawaogopa kuja wewe au nawewe mshirikina
 
Back
Top Bottom