exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Alafu kingine watu hawaongelei kwaubaya hili jambo hivi hata niwe mjini kukiwa namiundombinu rafiki yakilimo hakuna atakae kiogopa kilimo maukumbuke hakunaga mvivu bali kila Mtu huwa anataka afanye kazi anayoipendaWewe umejiusisha kwy kilimo kwa asilimia ngapi? Au umekaaa kwy kijiwe unasema aridhi kubwa ya kulima. Bila akili za binadamu itajilima yenyewe