Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini

Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya

Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni wanaihujumu DRC ilhali wako Jumuiya Moja

Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na Wanachama 3 na sasa wamefikia 8

Citizen tv
 
Huu ni mjumuiko wa wakuu wa nchi waliopo madarakani kulindana, mikutano ya wakuu wa nchi na serikali ya EAC, SADCC, Umoja wa Afrika AU n.k ni usanii kwenye eneo la utawala bora, demokrasia.

Masuala ya uchafuzi wa uchaguzi, kutekwa wapinzani hayana nafasi .
 
Nani atamfunga paka kengele wamzungumzie besigye maana wote ndio siasa wanayoifanya. si ruto, si samy na wala si museven wala kagame hata huyu wa burundi
 
Uchaguzi Africa hata makanisani ni shida
 
Kutekwa kwa Ali Kibao na Kisha kuuawa hatajadiliwa? Na vipi kuhusu uchaFUzi wa serikali za mitaa?
 
Nashangaa kidogo..... Nilitaraji mjadala wa kisomi uanze hata wiki moja kabla ukihusisha vyuo vikuu vyote kwa kujadili mambo ya jumuiya hii, na irushwe live.

Yanayoendelea Arusha ni mambo ya hovyo tu
 
Nani atamfunga paka kengele wamzungumzie besigye maana wote ndio siasa wanayoifanya. si ruto, si samy na wala si museven wala kagame hata huyu wa burundi
Wa Rwanda ndio Kagame

Samahani lakini 😄
 
MAKONDA BOMAYEE wasomi nendeni kwenye vimbweta
 
Wewe ku-draw attention kwako tu imefana.so next year nawe kazi kwako
 
tuniondoe apo eac...tubaki sadc tu...eac hapafai kabisaa
 
Back
Top Bottom