Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Huwa najiuliza sana kama ule utoto anaofanya makonda una mu impress Samia Suluhu Hassan! Najiuliza sana!Kuna wajinga watakwambia Makonda ni mbunifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza sana kama ule utoto anaofanya makonda una mu impress Samia Suluhu Hassan! Najiuliza sana!Kuna wajinga watakwambia Makonda ni mbunifu.
Unaota wewe.Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya
Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni wanaihujumu DRC ilhali wako Jumuiya Moja
Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na Wanachama 3 na sasa wamefikia 8
Citizen tv
😂😂😂Uchaguzi Africa hata makanisani ni shida
Huwa najiuliza sana kama ule utoto anaofanya makonda una mu impress Samia Suluhu Hassan! Najiuliza sana!
Wapo kidikiteta zaidiUnaota wewe.
Kuna raisi wa EA anayeweza kuzungumzia kutekwa kwa mtu kwenye nchi ya mwenziwe? Hao wote ni wauaji na watekaji tu
RIP MZEE KIBAO