johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nani atamfunga paka kengele wamzungumzie besigye maana wote ndio siasa wanayoifanya. si ruto, si samy na wala si museven wala kagame hata huyu wa burundiKongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya
Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni wanaihujumu DRC ilhali wako Jumuiya Moja
Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na Wanachama 3 na sasa wamefikia 8
Citizen tv
Uchaguzi Africa hata makanisani ni shidaHuu ni mjumuiko wa wakuu wa nchi waliopo madarakani kulindana, mikutano ya wakuu wa nchi na serikali ya EAC, SADCC, Umoja wa Afrika AU n.k ni usanii kwenye eneo la utawala bora, demokrasia.
Masuala ya uchafuzi wa uchaguzi, kutekwa wapinzani hayana nafasi .
Wa Rwanda ndio KagameNani atamfunga paka kengele wamzungumzie besigye maana wote ndio siasa wanayoifanya. si ruto, si samy na wala si museven wala kagame hata huyu wa burundi
nilikosa nimedit hata kabla siajona comment yako nilitaka andika burundiWa Rwanda ndio Kagame
Samahani lakini 😄
Labda kama Lema na Wadudu watabeba MabangoKutekwa kwa Ali Kibao na Kisha kuuawa hatajadiliwa? Na vipi kuhusu uchaFUzi wa serikali za mitaa?
sio agenda za mkutanoKutekwa kwa Ali Kibao na Kisha kuuawa hatajadiliwa? Na vipi kuhusu uchaFUzi wa serikali za mitaa?
Hapana, siumwi mkuuVyuo hivi vilivyojaza machawa ndio ulitaka vishiriki? Unaumwa ugonjwa wa akili