Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

Hizi jumuia tuwaachie wazungu ndo wanajua maana yake na kuziishi. Huwezi kujiita jumuia ilhali nchi wanachama mna migogoro mizito.... hakuna achievements za maana kwenye hizi jumuia zaidi ya talks hops
 
Vyuo vikuu vimegeuka kuwa extended high schools . Aliyezuiya migomo vyuo vikuu JPM ndiye aliyeua thinking capacity ya wanafunzi
Alaaniwe.
 
Unaota wewe.
Kuna raisi wa EA anayeweza kuzungumzia kutekwa kwa mtu kwenye nchi ya mwenziwe? Hao wote ni wauaji na watekaji tu
RIP MZEE KIBAO
 
Huwa najiuliza sana kama ule utoto anaofanya makonda una mu impress Samia Suluhu Hassan! Najiuliza sana!

..raisi kapokelewa na magari 500 ya utalii.

..pia wananchi wamepewa ofa ya nyama za kuchoma za bure, na kurusha fataki.

..ubunifu wa RC makonda huo.
 
Asimili kubwa hawa viongozi wanaounda EAC wana kaudikteta fulani hasa kuhusu suala la democracy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…