Marais wa Tanzania na ushiriki wa familia zao katika vyeo vikubwa serikalini

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
copy paste fb

1
Julius Kambarage Nyerere(1964–1985)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, Yupo Makongoro kapewa nafasi ya Uteuzi kuwa mkuu wa mkoa baada ya Nyerere Kufariki

2
Ali Hassan Mwinyi(1985–1995)
• Hussein Ali Mwinyi (mwana) — Rais wa Zanzibar.
• Abdullah Ali Hassan Mwinyi (mwana) — aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA).

3
Benjamin William Mkapa(1995–2005)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa

4
Jakaya Mrisho Kikwete(2005–2015)
• Ridhiwani Jakaya Kikwete (mwana) — Mbunge wa Chalinze na waziri
• Salma Rashid Kikwete (mke) — Mbunge.

5
John Pombe Magufuli(2015–2021)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, mtoto wake Jesca Magufuli kapata ubinge viti maalum baada ya kifo chake

6
Samia Suluhu Hassan(2021–sasa)
• Wanu Hafidh Ameir (binti) — Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar; pia Mbunge wa Viti Maalum na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
.• Mohamed Mchengerwa (mkwe) — Mbunge na Waziri wa Afya.
• Abdul— Ameonekana akiwa anahusishwa na shughuli nyingi za kuwakilisha taifa kwenye mazungumzo na nchi za nje mfano wiki iliyopita alikuwa na Museveni katia ikulu ya Entebbe kwa niaba ya Tanzania.
 
Na li madelu na lenyewe halipoi linakuja kwa Kasi,naona linamuandaa yule mtoto wake bwanyenye kama bumunda ili kesho na yeye apewe mafuta mdomoni
 
copy paste fb

1
Julius Kambarage Nyerere(1964–1985)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, Yupo Makongoro kapewa nafasi ya Uteuzi kuwa mkuu wa mkoa baada ya Nyerere Kufariki

2
Ali Hassan Mwinyi(1985–1995)
• Hussein Ali Mwinyi (mwana) — Rais wa Zanzibar.
• Abdullah Ali Hassan Mwinyi (mwana) — aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA).

3
Benjamin William Mkapa(1995–2005)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa

4
Jakaya Mrisho Kikwete(2005–2015)
• Ridhiwani Jakaya Kikwete (mwana) — Mbunge wa Chalinze na waziri
• Salma Rashid Kikwete (mke) — Mbunge.

5
John Pombe Magufuli(2015–2021)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, mtoto wake Jesca Magufuli kapata ubinge viti maalum baada ya kifo chake

6
Samia Suluhu Hassan(2021–sasa)
• Wanu Hafidh Ameir (binti) — Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar; pia Mbunge wa Viti Maalum na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
.• Mohamed Mchengerwa (mkwe) — Mbunge na Waziri wa Afya.
• Abdul— Ameonekana akiwa anahusishwa na shughuli nyingi za kuwakilisha taifa kwenye mazungumzo na nchi za nje mfano wiki iliyopita alikuwa na Museveni katia ikulu ya Entebbe kwa niaba ya Tanzania.
Marais WAISLAMU NDIO WANATUUA WATANGANYIKA! kasoro mwinyi tu ingawa na yeye aliuza mbuga zetu aoze huuko aliko
 
Mtusaidie sasa jana mjinga mmoja aliposti uzi wa kuwalenga wakristo tena wakatoliki kuwa ni mafisadi wakubwa naomba sasa arudi kwenye mada yake.hao maraisi iliyowataja kuwa hawakuwahusisha wanafamilia wao ni wakristo tena wakatoliki.jee wangekuwa waroho wa madaraka na wezi watoto wao si wangejazana kwenye biashara na maofisini?
 
tuwekee huo uzi kama utaupata
 
Back
Top Bottom