Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama
Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za mara kwa mara kuhusu uungwaji wa mkono wa viongozi na huwa wanachapisha taarifa hizi kila siku ikionyesha jinsi wananchi wanavyouchukulia uongozi wa viongozi mbalimbali.
Pew Research Centre, hutoa ripoti ya kina kuhusu maoni ya watu duniani kote kuhusu viongozi wa kisiasa,viwango vya uaminifu na masuala mengine yanayohusiana na uongozi wa kimataifa.
Kulingana vyanzo hivi vya kimataifa vyenye kuaminika duniani,hawa ni Marais ambao ushawishi wao kwa wananchi umeporomoka kwa kasi.
Emanuel Marcon (Ufaransa)
Ushawishi wake umeshuka kutokana na sera zake kuhusu masuala ya pensheni na kuzorota kwa hali ya maisha.
Joe Biden
Kushuka kwa ushawishi wake kumetokana na changamoto za kiuchumi, umri wake, na sera zake kuhusiana na masuala ya mpakani na sera za ndani.
Vladimir Putin, (URUSI)
Vita ya Ukraine kumesababisha ukosoaji mkubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.Vikwazo vya kimataifa vimeathiri uchumi wa Urusi na kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa raia.
Volodymyr Zelenskyy (UKRAINE)
Ingawa bado anaungwa mkono kimataifa,uchovu wa vita miongoni wa raia na changamoto za kijeshi zimeathiri ushawishi wake wa ndani.
Benjamin Netanyahu (ISRAELI)
Anaathiriwa na mabadiliko ya mfumo wa mahakama na ujiusishaji wake wa kwenye vita za mashariki ya kati.
Yoweri Mseveni (UGANDA)
Ushawishi wake umepungua mara baada ya uwepo wa wapinzani wenye ushawishi kama Bob wine,ambao wamekuwa wakimpinga kuhusiana na maswala ya kidemokrasia.
Cyril Rhamamposa (SOUTH AFRICA)
Jambo lililoathiri ushawishi wake kwa wananchi ni kashfa ya wizi wa fedha taslimu.
Justine Tradeau (CANADA)
Ushawishi wake umepungua kutokana na migogoro ya ndani isiyo kwisha kila mara.
William Ruto (KENYA)
Sera zake kuhusu maswala ya kodi,ugumu wa upatikanaji wa ajira,uhaba wa chakula umeporomosha umaarufu wake haswa kwa gen Z.
Recep Erdoğan (UTURUKI)
Hali mbaya ya kiuchumi na uthibiti wa vyombo vya habari kumesabanisha kuporomoka kwa umaarufu wake ndani na nje ya mipaka ya uturuki.
NAWASILISHA NA ASANTENI