Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipoona Tanzania haimo nikajua ni fake newsNa hapa Tanzania hamsemi au mnaogopa kutekwa kupigwa na hatimae kuuwawa?!
Nchini kwake ripoti nyingi zimeshindwa kupata taarifa za uhakikaUmekasahau kazee ka mapanki south korea, alaf kuna mmoja naona umegwaya kutaja bab dele. We deleee
Pumbavukwa Kenya nakataa,
muungwana hata ukifanyika Uchaguzi leo bado atashinda vizuri tu.
Hata hivyo,
Uchaguzi wa 2027 atashinda kwa kishindo kikuu.
hivi nani pale Kenya unaweza kusema ana ushawishi na ni maarufu zaidi ya Ruto?
au Raila ambae hana tofauti na Biden?
mwingine ni nani pale Kenya kwa mfano mwenye nguvu zaid ya ushawishi zaidi ya Ruto?
ua Kalonzo Musyoka, water melon?
hata wakiungana Gen z wote, Eugene Wamalwa, RigyGy, Gideon Moi, Mwangi wa Iria, Matha Karua, Uhunye, Matiang'i, wajakhoya na yeyote unaemfahamu Kenya hawawezi kua na nguvu ya ushawishi kumshinda Ruto.š
We endelea kututafuta tu.Ndugu yangu shida nn?
Da ila wabongo!!We endelea kututafuta tu.
Bila Mama hapa sikuungi mkonoViwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama
Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za mara kwa mara kuhusu uungwaji wa mkono wa viongozi na huwa wanachapisha taarifa hizi kila siku ikionyesha jinsi wananchi wanavyouchukulia uongozi wa viongozi mbalimbali.
Pew Research Centre, hutoa ripoti ya kina kuhusu maoni ya watu duniani kote kuhusu viongozi wa kisiasa,viwango vya uaminifu na masuala mengine yanayohusiana na uongozi wa kimataifa.
Kulingana vyanzo hivi vya kimataifa vyenye kuaminika duniani,hawa ni Marais ambao ushawishi wao kwa wananchi umeporomoka kwa kasi.
Emanuel Marcon (Ufaransa)
Ushawishi wake umeshuka kutokana na sera zake kuhusu masuala ya pensheni na kuzorota kwa hali ya maisha.
Joe Biden
Kushuka kwa ushawishi wake kumetokana na changamoto za kiuchumi, umri wake, na sera zake kuhusiana na masuala ya mpakani na sera za ndani.
Vladimir Putin, (URUSI)
Vita ya Ukraine kumesababisha ukosoaji mkubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.Vikwazo vya kimataifa vimeathiri uchumi wa Urusi na kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa raia.
Volodymyr Zelenskyy (UKRAINE)
Ingawa bado anaungwa mkono kimataifa,uchovu wa vita miongoni wa raia na changamoto za kijeshi zimeathiri ushawishi wake wa ndani.
Benjamin Netanyahu (ISRAELI)
Anaathiriwa na mabadiliko ya mfumo wa mahakama na ujiusishaji wake wa kwenye vita za mashariki ya kati.
Yoweri Mseveni (UGANDA)
Ushawishi wake umepungua mara baada ya uwepo wa wapinzani wenye ushawishi kama Bob wine,ambao wamekuwa wakimpinga kuhusiana na maswala ya kidemokrasia.
Cyril Rhamamposa (SOUTH AFRICA)
Jambo lililoathiri ushawishi wake kwa wananchi ni kashfa ya wizi wa fedha taslimu.
Justine Tradeau (CANADA)
Ushawishi wake umepungua kutokana na migogoro ya ndani isiyo kwisha kila mara.
William Ruto (KENYA)
Sera zake kuhusu maswala ya kodi,ugumu wa upatikanaji wa ajira,uhaba wa chakula umeporomosha umaarufu wake haswa kwa gen Z.
Recep ErdoÄan (UTURUKI)
Hali mbaya ya kiuchumi na uthibiti wa vyombo vya habari kumesabanisha kuporomoka kwa umaarufu wake ndani na nje ya mipaka ya uturuki.
NAWASILISHA NA ASANTENI
Sasa ndo hayupo siyo mm ndugu yangu ni ripoti tena siyo za hapa nyumbaniBila Mama hapa sikuungi mkono
Oky basi ripoti imepuyanga kidogoWilliam Ruto anamvuto na ninadhani ni Raisi wa KIDEMOKRASIA kuliko wote hapa East Africa.
Tatizo hawa wamewaweka 10 tuTeodoro Obiang wa Equatorial Guinea? Au sisi watu wa nje ndiyo tunaona ni mizinguo
Sawa mkuu uchumi wa urusi unazidi kupaa asante kwa taarifa kabla ya kuandika nitaanza kusoma kwanza.Uchumi wa Urusi ulioathirika ni upi mkuu unatumia data zipi???
Katika nchi imeacha watu midomo wazi ni Russia,Europe nzima pamoja na USA chumi zao zimepata shida ni Russia pekee ndio uchumi wake umenawali.
Mkui kabla ya kuandika uwe unasoma kwanza.
Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama
Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za mara kwa mara kuhusu uungwaji wa mkono wa viongozi na huwa wanachapisha taarifa hizi kila siku ikionyesha jinsi wananchi wanavyouchukulia uongozi wa viongozi mbalimbali.
Pew Research Centre, hutoa ripoti ya kina kuhusu maoni ya watu duniani kote kuhusu viongozi wa kisiasa,viwango vya uaminifu na masuala mengine yanayohusiana na uongozi wa kimataifa.
Kulingana vyanzo hivi vya kimataifa vyenye kuaminika duniani,hawa ni Marais ambao ushawishi wao kwa wananchi umeporomoka kwa kasi.
Emanuel Marcon (Ufaransa)
Ushawishi wake umeshuka kutokana na sera zake kuhusu masuala ya pensheni na kuzorota kwa hali ya maisha.
Joe Biden
Kushuka kwa ushawishi wake kumetokana na changamoto za kiuchumi, umri wake, na sera zake kuhusiana na masuala ya mpakani na sera za ndani.
Vladimir Putin, (URUSI)
Vita ya Ukraine kumesababisha ukosoaji mkubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.Vikwazo vya kimataifa vimeathiri uchumi wa Urusi na kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa raia.
Volodymyr Zelenskyy (UKRAINE)
Ingawa bado anaungwa mkono kimataifa,uchovu wa vita miongoni wa raia na changamoto za kijeshi zimeathiri ushawishi wake wa ndani.
Benjamin Netanyahu (ISRAELI)
Anaathiriwa na mabadiliko ya mfumo wa mahakama na ujiusishaji wake wa kwenye vita za mashariki ya kati.
Yoweri Mseveni (UGANDA)
Ushawishi wake umepungua mara baada ya uwepo wa wapinzani wenye ushawishi kama Bob wine,ambao wamekuwa wakimpinga kuhusiana na maswala ya kidemokrasia.
Cyril Rhamamposa (SOUTH AFRICA)
Jambo lililoathiri ushawishi wake kwa wananchi ni kashfa ya wizi wa fedha taslimu.
Justine Tradeau (CANADA)
Ushawishi wake umepungua kutokana na migogoro ya ndani isiyo kwisha kila mara.
William Ruto (KENYA)
Sera zake kuhusu maswala ya kodi,ugumu wa upatikanaji wa ajira,uhaba wa chakula umeporomosha umaarufu wake haswa kwa gen Z.
Recep ErdoÄan (UTURUKI)
Hali mbaya ya kiuchumi na uthibiti wa vyombo vya habari kumesabanisha kuporomoka kwa umaarufu wake ndani na nje ya mipaka ya uturuki.
NAWASILISHA NA ASANTENI
Ungeongezea hata mwenyewe tunakuaminiaSasa ndo hayupo siyo mm ndugu yangu ni ripoti tena siyo za hapa nyumbani
Utajua badae ukiwa mkubwaNentanyahu ni Rais wa nchi gani?