Marais waliopo Madarakani ambao ushawishi wao kwa Wananchi umepungua kwa kasi

Umekasahau kazee ka mapanki south korea, alaf kuna mmoja naona umegwaya kutaja bab dele. We deleee
 
Pumbavu
 
Bila Mama hapa sikuungi mkono
 
William Ruto anamvuto na ninadhani ni Raisi wa KIDEMOKRASIA kuliko wote hapa East Africa.
 
Uchumi wa Urusi ulioathirika ni upi mkuu unatumia data zipi???
Katika nchi imeacha watu midomo wazi ni Russia,Europe nzima pamoja na USA chumi zao zimepata shida ni Russia pekee ndio uchumi wake umenawali.

Mkui kabla ya kuandika uwe unasoma kwanza.
 
Sawa mkuu uchumi wa urusi unazidi kupaa asante kwa taarifa kabla ya kuandika nitaanza kusoma kwanza.
 
Nentanyahu ni Rais wa nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…