Marais waliopo Madarakani ambao ushawishi wao kwa Wananchi umepungua kwa kasi

Pro-Russia wanasema Putin anaungwa mkono kwa 90%
Nilikuwa ninatafuta hii comment. Mwenyewe ninapiga, nadhani researcher alikurupuka kumtaja mu7 n putin. Mu7 ameoinga ushoga n post colonialism ndan ya nchi yake. Hivyo hakuna research itakayofanywa then akapongezwa. Mabeoari wanamchafua kama salivyomchafua idi amin(hakuna hata Jema lake moja ulimwengu unalolijua), gadafi n magufuli. Boby wine anasapotiwa kutokana ni dam changa, akiaminiwa ndio mrithi sahihi wa mu7. Ila wa uganda wanampenda n wahamhusudu. Kuhusu putin, hakuna jema lake litalopazwa hadi kifo chake. Ila tz hatujawai kuwa n raisi kama huyu mwamba. Nina washkaj kadhaa Russia, wananiambia kuwa yule mzee anaheshimika sana. Wapo wanaompinga ila majority wanampenda n wanataka aendelee kuwaongoza. Umemsahau mama, wananchi hawamkubali. CCM ndio uti wa mgongo wake.
 
Kwa Mr.Moscovischt a.k.a Putin na kukatalia tena ujue ameongeza ukubwa wa himaya yake na bado anaendelea bora ungesema uungwaji wakemkono unaongezeka kwakasi ndani na nje ya mipaka ya taifa lake.
 
Uongo wa maadui wa taifa lake wanamdis,kwa wivu wao kwani ni smart kuliko wapuuzi wote
 
Mkuu ni unavuta bangi ama vipi!?
William Ruto akishinda si sawa na wamavyoshinda CCM tu Kwa kura za kuiba!?
William Ruto HANA USHAWISHI TENA KENYA.
Nchi nzima inaandamana wewe utoke madarakani huo ushawishi unabaki nao kutokea wapi!??
 
Mbona kama list haijakamilika
 
Kama Biden na Ruto hawapo kwenye orodha unapata wapi ujasiri wa kumweka Putin kwenye orodha ya walioshuka ushawishi ?
 
Mkuu ni unavuta bangi ama vipi!?
William Ruto akishinda si sawa na wamavyoshinda CCM tu Kwa kura za kuiba!?
William Ruto HANA USHAWISHI TENA KENYA.
Nchi nzima inaandamana wewe utoke madarakani huo ushawishi unabaki nao kutokea wapi!??
Gentleman,
shisha inakupeleka puta hatari, changanya na ugoro kidogo itasaidia kupunguza spidi ya mawenge...

hakunaga wa kumtoa Ruto mamlakani hata waandamanaji wasambae hadi Africa Mashariki yote.

Gentleman,
ni nani huyo Kenya, na mwenye mipango mikakati mbadala gani zaidi ya aliyonayo Ruto wa kuipeleka Kenya mbele? Mtaje kwa faida ya wadau.

Ni muhimu ukaacha kufakamia visungura mara moja sawa?๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ