Marais wanawake wa kiislam duniani

Kuna mmoja hapo umemuweka alipata uraisi kwa sababu katiba ya nchi yake imtaka makamu wa rais ashike nafasi pale raisi aliyeko madarakani anapoaga dunia.

Kiukweli taifa liliingia kwenye janga kwa sababu tu ya katiba. Aliteuliwa tu kukamilisha takwa la kikatiba kwamba raisi awe na makamu. Tuliporejea katiba kuhusu kifo cha Rais, wengi tulilia si kwa sababu tu ya kuondokewa na Rais bali kwa sababu tulijua anayehitajika na katiba ashike nafasi kwa kipindi kilichobaki ni janga kuu la taifa.
 
Kwa hivyo unataka urudi utawala kama ule? Hahaa si utaficha chooni wewe? Wewe kweli kunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…