Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Anakaa hapo mbele ya hiyo black robeView attachment 2796581
Huyu mchungaji anakaa mbinguni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakaa hapo mbele ya hiyo black robeView attachment 2796581
Huyu mchungaji anakaa mbinguni?
Kuna mmoja hapo umemuweka alipata uraisi kwa sababu katiba ya nchi yake imtaka makamu wa rais ashike nafasi pale raisi aliyeko madarakani anapoaga dunia.Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha
1. Halimah.
Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023.
View attachment 2796510
View attachment 2796511
View attachment 2796512
Rais Samia Suluhu Hassan
Upto 2035(inshallah)
SIFA KUBWA YA MUISLAM DHIDI YA ASIEKUWA MUISLAM
Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimamisha uadilifu mtoapo ushahidi kwa ajili ya Allaah japokuwa ni dhidi ya nafsi zenu au wazazi wawili, au jamaa wa karibu. Akiwa tajiri au maskini Allaah Anawastahiki zaidi. Basi msifuate hawaa [matamanio] mkaacha kufanya uadilifu. Na mkipotoa [ushahidi wenu] au mkijitenga [kuepuka au kukataa kutoa ushahidi], basi hakika Allaah kwa myatendayo ni Khabiyraa (Mjuzi wa vilivyodhahiri na vilivyofichikana)." (04:135)
September 16/2022 aliuwawa Mama yetu Mahsa Amina huko Iran na kusababisha maandamano makubwa, maafa ya Watu 517, Askari 70, Majeruhi, 898 waliokamatwa 19, 262.
Kwa hivyo unataka urudi utawala kama ule? Hahaa si utaficha chooni wewe? Wewe kweli kunguniKuna mmoja hapo umemuweka alipata uraisi kwa sababu katiba ya nchi yake imtaka makamu wa rais ashike nafasi pale raisi aliyeko madarakani anapoaga dunia.
Kiukweli taifa liliingia kwenye janga kwa sababu tu ya katiba. Aliteuliwa tu kukamilisha takwa la kikatiba kwamba raisi awe na makamu. Tuliporejea katiba kuhusu kifo cha Rais, wengi tulilia si kwa sababu tu ya kuondokewa na Rais bali kwa sababu tulijua anayehitajika na katiba ashike nafasi kwa kipindi kilichobaki ni janga kuu la taifa.
Wewe ulishaenda mbinguni ukawakosa wanawake wa hivyo..?View attachment 2796581
Huyu mchungaji anakaa mbinguni?