Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

Jiwe ni gwiji la rushwa.

Hata wabunge walipitisha kikokotoo dhulumishi kwa kuwa wao hakiwahusu.

Ba Jiwe aliwaruhusu Polisi kuchukua rushwa barabarani kwa kuwa anawatumia kwa mambo yake. Alisema ni pesa ya kubrush viatu
Halafu huyo utasikia anasifiwa kwa kupiga vita rushwa.
 
Watawala wa kiswahili wanajitungia sheria zinazowafagilia wao. Sasa huyo Mwinyi miaka karibia mia moja alikuwa wapi basi kujengewa hiyo nyumba hadi leo robo karne nzima toka astaafu ndio ajengewe?

Hili swala naona kama lina ajenda ya siri sio bure, ni matumizi mengine mabaya ya fedha za umma.
 
Mungu anawaona,hzo familia nyumba sio kitu kwao Kwan tayar walikuwa nazo
 
Kuna kitu huwa najiuliza sana lakini sipati jibu! Je hivi ni kweli marais wetu na mawaziri wetu wakuu kwa mishahara mikubwa na posho nono za mfululizo wanazolipwa wawapo madarakani, ikiwemo kununuliwa na serikali mahtaji ya kila siku mpaka nguo za mwilini na mashuka ya kulalia, Pia kiinua mngongo cha kutosha na bado anaendelea kuvuta pesheni ya 80% ya mshahara wa yule aliyeko madarakani, Hivi kweli ni mtu wa kushindwa kujenga nyumba kama hiyo???? Hizi nyumba si bora wangekuwa wanajengewa wastafu wa kada za kawaida kama walimu au manesi??? Maana hawa hata mshahara wao na mafao yao ni mgogoro wa mgogoro! Pensheni wanazolipwa kila mwisho wa mwezi utaona huruma!
Naombea Mungu tufike mahala tupate kiongozi mwenye maono tofauti, atakayeweza kuona kundi halisi lenye uhitaji wa mafao hayo!
 
Kweli aliyeshiba hamjari mwenye njaa,
Kulikuwa na umuhimu gani Tena kipindi hiki,kuwajengea Hawa nyumba,Hawa watu wanaukwasi mkubwa sana,ukiacha mali walizonazo,na walizoiba.
Ktk nchi maskini unatumia pesa kuwajengea nyumba maraisi,ambao kwa viwango tu vya kimataifa ni matajiri sana.
Hizi pesa zingetumika kulipia mikopo ya vijana waliomaliza Elimu ya juu,ingekuwa poa sana.
Timing imekuwa mbaya sana,wananchi wameuliwa na magaidi mtwara,Dar viongozi wanaongezeana ukwasi.
Kwanza hizi pesa zimetoka wapi,zimeidhinishwa na nani?
 
Sheria sio msaafu,ukiacha walizo tuibia huu ni usenge mtupu
 
Jitokezeni kwa wingi mkapige kura za HAKI kuchagua Lissu ili kutokomeza UHUNI wa namna hii, hawa watu wametuibia miaka yote na bado wanaendelea kutuibia tu?
 
Inafikirisha sana. Mwinyi kastaafu 1995. Well sheria ni ya 1999, lakini mpaka leo ndio anapata mafao? Na Hayati Mzee Mkapa nae vipi?
 
Inafikirisha sana. Mwinyi kastaafu 1995. Well sheria ni ya 1999, lakini mpaka leo ndio anapata mafao? Na Hayati Mzee Mkapa nae vipi?
Wote walipewa nyumba tayari.

Mwinyi alipewa nyumba Oysterbay Laibon St. Mtaa wa Ubalozi wa Marekani wa zamani.

Kikwete alipewa nyumba Msoga, nyingine Bagamoyo na nyingine Dar Migombani St. Ya Migombani St. imefanyiwa ukarabati mkubwa sana muda si mrefu, halafu huwa hakai mtu pale sasa.

Marehemu Mkapa ana nyumba Mfaume Rd Upanga. Alipewa nyumba Sea View karibu na Aga Khan Hospital Upanga. Alipewa nyumba Masaki.

Sasa hizi nyumba walizopewa awali wanazirudisha na kupewa mpya?

Au wanaongezewa?
 
Kwa mantiki hii naona Mzee wa CHATTLE atajijengea mwenyewe.
 
Hakika mwenye nacho huongezewa.....hawa wazee wetu wastaafu pamoja na benefits zote...bado wanajaziana nyumba tu.
Wananchi wanazoa maji tu majumbani...
Poleni wapiga kura.
Ndiyo hivyo. Wajukuu watafaidi.
 
Hivi masaki kulikuwa na kiwanja au kuna mtu alivuliwa ndio ikapatikana nafasi ya kumjengea Mh. Mwinyi?
 
Ile ni zawadi tu ambayo wao kama Jeshi waliona wampe ingawa mwenyewe hakupenda.

Na alikaa kwa siku 14 tu kabla ya
Alivyopelekwa St Thomas Hospital Uingereza aliondokea Butiama au Mikocheni?
 
Inafikirisha sana. Mwinyi kastaafu 1995. Well sheria ni ya 1999, lakini mpaka leo ndio anapata mafao? Na Hayati Mzee Mkapa nae vipi?
Ile hekalu ya Tanga kule vipi?
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…