Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishatoboa kitambo kabla yako na huenda mmojawapo ni boss wako!We unafikri waliofanikiwa wote wametokea familia zenye uwezo? Ni swala la malezi tu,hao watoto wako ukiwaambukiza hii mindset yako,amini kwamba hawawezi kutoboa.
Weka tuu hicho kifungu cha sheria tujadili kama nilivyofanya mimi. Hakuna haja ya blaablaa.Sheria inaheshimiwa Kwa wakubwa Tu?? Annual Salary Increment ipo kisheria. Ila Sheria haijatekelezwa Kwa miaka mitano. Je huo sio ubinafsi?? Kama wamejengewa Kwa kuwa Tu wanaheshimu na kutimiza takwa la kisheria Kwanini hawatimizi Sheria Kwa kulipa stahiki za watumishi wa Umma wanaolipwa mishahara kama manamba??
Kwa sheria ipi?Safi sana - wajenge na za makamu wao wote, mawaziri wakuu, majaji, wakuu wa majeshi
Hiyo ni ishara ya upendo na kutambua mchango wao ktk jumuiya za watanzania
Ninaoweza kuwaita boss hapa tz ni wachache Sana,na ndio maana siwezi kuungana na nyie kwenye kelele za chura kumzuia ng'ombe kunywa maji.Kwahiyo sidhani na haitawezekana mimi kuwa na maboss vidampa Kama hao watoto wako.Chamsingi pambaneni na maisha.Walishatoboa kitambo kabla yako na huenda mmojawapo ni boss wako!
Mito midogo yote nayo huelekea ziwani,Maji madogo huelekea kwenye baharini kwenye maji mengi!
Na maaskari wanatumika sana ns CCM.Babu alistafu uaskari akiwa Hana hata nyumba, na akarudi kupanga kitaani, baada ya kuishi Kota maisha yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yeye ndio ataamua ajijengee vipi au raisi wa awamu ya 6 ndio atamjengea yeye? Sheria inasemaje? Maana hapa nimeona kwamba ametaka mpaka jan 2021 iwe ishakamilika,ina maana Kikwete hana say juu ya ujenzi wa nyumba yake? Kuwajengea majumba ni kuleta kufuru tu,nyerere alipaswa kujengewa coz alikuwa sio fisadi kama wao!! Hawa waliokuja baada ya JKNyerere wana majumba kila sehemu.Mtetezi wa wanyonge hapo atajipigia jumba kama hekalu la malkia Elizabeth.
Hivi yeye ndio ataamua ajijengee vipi au raisi wa awamu ya 6 ndio atamjengea yeye? Sheria inasemaje? Maana hapa nimeona kwamba ametaka mpaka jan 2021 iwe ishakamilika,ina maana Kikwete hana say juu ya ujenzi wa nyumba yake? Kuwajengea majumba ni kuleta kufuru tu,nyerere alipaswa kujengewa coz alikuwa sio fisadi kama wao!! Hawa waliokuja baada ya JKNyerere wana majumba kila sehemu.
Jiwe ni gwiji la rushwa.Kwa mwendo huu, Jiwe atapiga anavyotaka, wastaafu hawawezi kumkemea.
Na ukitaka kuthibitisha tatizo la Afrika ni UONGOZI, Angalia timu ya Waafrika- Ufaransa ambayo iliongozwa na watu weupe ilivyochukua kombe la DuniaWAAFRICA HATUNA BAHATI YA KUPATA VIONGOZI!
Mimi niko Butiama, hakuna nyumba ya Mkapa huku acheni ubishi.Mkapa alimjengea Nyerere Butiama bro.
Tena sio asubiri kujengewa! bali atajenga mwenyewe!!Nafikiri huko Chattle litasimama HEKALU....
Watumishi yao ilikuwa pensheni kwa kikokotoo rafiki, nacho wanapanga kukichakachua 2023!!! TAL anatosha 2020!Hii sheria ingekuwa kwa watumishi wote wa umma.
Mbona inaongelewa kama Magufuli yeye katoa msaada kutokana na his own personal wisdom?
Its crazy!
Na pia naomba unikopie hiyo sheria hapa nijiridhishe!
Halafu huyo utasikia anasifiwa kwa kupiga vita rushwa.Jiwe ni gwiji la rushwa.
Hata wabunge walipitisha kikokotoo dhulumishi kwa kuwa wao hakiwahusu.
Ba Jiwe aliwaruhusu Polisi kuchukua rushwa barabarani kwa kuwa anawatumia kwa mambo yake. Alisema ni pesa ya kubrush viatu