Inauma Sana. Yani yanakumbuka kama kuna Sheria kwenye kufaidishana wenyewe Kwa wenyewe. Wafanyakazi wanaolipa Kodi wala hawawakumbuki kama nao wanadai shahiki zao zilizopo kisheria for five good years.Safi sana tena sana, sasa turudi kwenye hiyo hiyo sheria, vp inasemaje juu ya nyongeza ya mishahara na kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma?
Tunaomba hili limfikie Tundu Lissu Ili alibroadcast kwenye kila mkutano uliobakia. Huu ni ujinga.