Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjenzi ni JKT na mhandisi na mshauri elekezi ni TBAMkandarasi wa hizo nyumba ni nani Au ni Mayanga pia?
Huyu mzee nahisi anajisikia ni immortal!Labda anafikiri atakwenda nazo kuzimu.
Kwa vipi?Hapo ni justification tu inatafutwa!
Sawa mkuu, kama ushauri wangu kwako kwamba utafute hela ili ujenge hiyo nyumba unayoitaka badala ya kushinda Jf, umekuudhi na kujifanya unione kama mnufaika wa ufisadi,basi subiri huyo Rais atakaekuja kukujengea nyumba wewe kama mtumishi wa umma.Ama wewe ni tunda la ufisadi au mnufaika wa ufisadi ndio maana unaandika hivi ukidhani unamtetea huyo anayejikomba kwa wastaafu kumbe unawazidishia wapigakura hasira ili wakapige kura za hasira za kuukataa ccm!
Wao walilishwa, kuvalishwa, kutibiwa na kuwasomeshea watoto wao Bure kabisa! Na mishahara yao na viinua mgongo vyao na zawadi kubwa kubwa hawakuzigusa kabisa! Watafananaje na wafanyakazi wa kada Kama za ualimu wanaolipwa kiduchu? Halafu unawafokea wapigakura badala ya kuwabembeleza! Utayapata majibu yao oktoba 28!
Nafikiri huko Chattle litasimama HEKALU....
Acha wivu wa kike!Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Ujue sheria ipo tangu 1999Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Naamini wewe ni kijana Tena mhangaikaji Sana unayepambana usimame kiuchumi! Kama ndivyo, unawezaje kumshangilia ujinga huu wa kuwaongezea hao wastaafu zawadi za makasri huku ukiukandamiza upande mwingine wa wastaafu ambao nawe umenufaika na huduma zao? Huoni kuwa huu ni ubaguzi wa makusudi? Na kwanini wajengewe ilihali walijijengea ikulu ndogo vijijini mwao? Usitetee matumizi mabaya ya Kodi zako vinginevyo wanao watakuja kukucheka na kuudharau kimoyomoyo!Sawa mkuu, kama ushauri wangu kwako kwamba utafute hela ili ujenge hiyo nyumba unayoitaka badala ya kushinda Jf, umekuudhi na kujifanya unione kama mnufaika wa ufisadi,basi subiri huyo Rais atakaekuja kukujengea nyumba wewe kama mtumishi wa umma.
NB: Yani unategemea kuna Rais atakaekuja kukataa neema wanayoipata kutokana na nafasi hiyo? Nhiiiiiiiiiiiiii😃.
USIKU MWEMA
Na mwinyi amestaafu 1995, nyumba anakabidhiwa leo !!!Ujue sheria ipo tangu 1999
Iko kwenye sheria tuliza mshono ndiyo maana hata Nyerere alijengewa Butiama na zote zinajengwa na Jeshi.Mmh jamani this s not fair ,khaaa!
JESUS IS LORD[emoji120]
Hata Mungu alishasema aliyenacho anaongezewa. Jitahidi uwe nacho then Mungu atakuongezea!Naamini wewe ni kijana Tena mhangaikaji Sana unayepambana usimame kiuchumi! Kama ndivyo, unawezaje kumshangilia ujinga huu wa kuwaongezea hao wastaafu zawadi za makasri huku ukiukandamiza upande mwingine wa wastaafu ambao nawe umenufaika na huduma zao? Huoni kuwa huu ni ubaguzi wa makusudi? Na kwanini wajengewe ilihali walijijengea ikulu ndogo vijijini mwao? Usitetee matumizi mabaya ya Kodi zako vinginevyo wanao watakuja kukucheka na kuudharau kimoyomoyo!
wakati shule ya msingi mingoyo wanahaha kupata angalau mashimo matatu ya chookwa ajiliya wanafunzi 200 tu.View attachment 1603958
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
View attachment 1603960
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Very Interesting...View attachment 1604009
View attachment 1604014
Rais Magufuli leo amemkabidhi Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi nyumba aliyojengewa na serikali masaki jijini Dsm.
Mzee Mwinyi amekuwa akiishi katika nyumba yake mwenyewe pale Mikocheni/ Msasani karibu na nyumbani kwa mwalimu Nyerere.
=====
Sheria inasema:
9.-(1) A leader who held the office of the President of the United Republic, shall upon ceasing to hold office, be granted:
(d) a furnished house containing not less than four bed rooms of which two rooms shall be self contained and shall contain-
(i) a furnished office;
(ii) a servant quarter;
THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT
BENEFITS ACT, 1999
View attachment 1603958
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
View attachment 1603960
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Mimi sio kijana,na kwenye swala la kupambania uchumi wangu nilishatoka zamani sana.Naamini wewe ni kijana Tena mhangaikaji Sana unayepambana usimame kiuchumi! Kama ndivyo, unawezaje kumshangilia ujinga huu wa kuwaongezea hao wastaafu zawadi za makasri huku ukiukandamiza upande mwingine wa wastaafu ambao nawe umenufaika na huduma zao? Huoni kuwa huu ni ubaguzi wa makusudi? Na kwanini wajengewe ilihali walijijengea ikulu ndogo vijijini mwao? Usitetee matumizi mabaya ya Kodi zako vinginevyo wanao watakuja kukucheka na kuudharau kimoyomoyo!
Ni sheria mkuu