Marais Wastaafu wamuaga Jaji Augustino Ramadhani

Mkuu usijeshangaa siku moja akaibuka na kusema hao wengine walikuwa wanajitafutia umaarufu tu na siyo kutoa faraja kwa wafiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbavu zangu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu pale Rais anapoamua kujificha kijijini kwao huku raia wake wakiwa kwenye vita. Huyu hafai kuongoza nchi.

Ifikapo Oktoba aonyeshwe mlango wa kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata kama Rais yeyemwenyewe binafsi angependa atoke aende sehemu yoyote anayotaka kikazi au shughuli binafsi, Taasisi iliyopewa jukumu la kulinda usalama wake ikisha mpa maelekezo ya kuto toka hawezi kutoka. Ata nyumbu waaandamane hawezi toka.
Kinacho fanyika ni kwa usalama wa Taifa na heshima ya taasisi iliyo kabidhiwa jukumu la kumlinda Rais. Sasa kwakua Nyumbu hawaelewi lolote kuhusu usalama wa Rais na Taifa basi kaz yao ni kelele. Watu werevu wanabaki wana washangaa. Yaani akili ya Nyumbu wanahisi Rais ni sawa na mwenyekiti wao DJ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Covid tu,huwa hahudhurii misiba ya kitaifa!
 
Radio;
Kwani yale matusi anaambiwa na taasisi waliopewa jukumu la kumlinda kua ayaseme?
Au waziri mkuu na makamu wa rais ndiyo hawana hizo taasisi? au sisi taasisi yetu ni ya kipekee duniani? kwa maneno mengine unasema kua kila anachoshauriwa na taasisi anakitekeleza tofauti na yeye anavyosema kua kila wakati anaenda kinyume na taasisi ya usalama.
Siyo kila jambo lazima useme unakijua; Rais wetu anayo tatizo kubwa sana ya madharau na hii ni tokea utotoni adi sasa. Kawaulize wenyeji wa kijijini kwao pamoja na ndugu zake upate ukweli.
 
Hawa alifanya nao kazi kwa ukaribu na kufahamiana kwa kipindi kirefu sana cha uhai wake haishangazi
 
redio
Acha porojo sio wote wajinga, kazi yako sio kubwabwaja utupolo hapa... redio gani itakuwa TBC wewe..!!
 
Unaweza kutukumbusha lini watu walimfuata Nyerere Butiama kwa mambo ya kiofisi wakati akiwa madarakani?

Acha kumsingizia marehemu kwa sababu unajua hawezi kuja kujitetea
 
Hii ya mkulu kujificha kijijini sijawahi kusikia popote Duniani. Magufuli ataingiakwenye Guness book of records.
Polisi wangekuwa na uwezo wa kuua Corona ungemuona hadharani na combati za jeshi , sasa ni bahati mbaya corona haiogopi magwanda ya mtu
 
Mbowe kawa zidi saaaaaaana tu
 
Rais wetu yupo ngangari na alithibitisha kwa kupiga push ups kwenye kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kutukumbusha lini watu walimfuata Nyerere Butiama kwa mambo ya kiofisi wakati akiwa madarakani?

Acha kumsingizia marehemu kwa sababu unajua hawezi kuja kujitetea

Mkuu una umri gani? Mimi nilikuwepo wakati JK Nyerere ni rais. Wakati JK Nyerere anatupa story ya ''nani amfunge paka kengele.''
 
Mkuu una umri gani? Mimi nilikuwepo wakati JK Nyerere ni rais. Wakati JK Nyerere anatupa story ya ''nani amfunge paka kengele.''
Umri wangu wa nn? Nipe kisa kimoja tu cha Nyerere kwenda kuishi kijijini kwake akiongoza nchi. Acha maneno mengi. We niambie alikaa Butiama say toka 1 May hadi 30 May 1978 akiongoza nchi. Simple.
 
Umri wangu wa nn? Nipe kisa kimoja tu cha Nyerere kwenda kuishi kijijini kwake akiongoza nchi. Acha maneno mengi. We niambie alikaa Butiama say toka 1 May hadi 30 May 1978 akiongoza nchi. Simple.

Nikupe kisa kimoja ii iwe nini? Endelea kua na uzuzu wako nikishakwambia nani alikwenda kumwona Mwitongo ndio itakusaidia nini? Sifahamu unafikira kwa kutumia nini.
 
Nikupe kisa kimoja ii iwe nini? Endelea kua na uzuzu wako nikishakwambia nani alikwenda kumwona Mwitongo ndio itakusaidia nini? Sifahamu unafikira kwa kutumia nini.
Looser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…