Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Mkuu usijeshangaa siku moja akaibuka na kusema hao wengine walikuwa wanajitafutia umaarufu tu na siyo kutoa faraja kwa wafiwa.Nafikiria pengine Rais wetu ana tatizo fulani la kiafya, ambalo janga kama hili la COVID-19 linaweza kutishia usalama wake, na hii ndiyo sababu anawekwa ktk mazingira kama haya tunayoyaona. Haiwezekani Marais wastaafu tena wenye umri mkubwa sana zaidi yake wawepo ktk masuala yenye kuhitaji itifaki ya kitaifa yeye asiwepo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app