Marais Wastaafu wamuaga Jaji Augustino Ramadhani


..alianza na push-ups.

..baadae akaja kuvaa combats.

..lakini jinsi ulinzi wake ulivyo wa ajabu ni rahisi kujua kuwa he is paranoid.
 
Huyu anayo siri kubwa sana.

Wanaoijua wanamstahi kwelikweli, lakini siku moja itajulikana tu kwa nini ana mambo ya kipekee sana kama kiongozi.

Si ajabu angependa mfumo wetu uwe kama ule wa Korea Kaskazini; ungemfaa sana kusitiri siri zake.

Hata hivyo amejitahidi sana kuzima vyombo vya habari, vinginevyo siri zinazomfanya aonekane kuwa mtu wa kipekee sana katika jamii nzima zingekuwa zishafumbuliwa.
 
..alianza na push-ups.

..baadae akaja kuvaa combats.

..lakini jinsi ulinzi wake ulivyo wa ajabu ni rahisi kujua kuwa he is paranoid.
Unajua mwanzoni mwanzoni kabisa mwa utawala wake niliwahi kusema si mara moja wala mara mbili, kwamba JPM ni dhaifu kuliko JK lakini anaficha udhaifu wake kwa kuwatisha watu ili wamuogope.

Wakati ule nilim-judge kwa kuangalia psychological factors tu lakini hivi sasa ame-prove beyond reasonable doubt ni namna gani alivyo muoga!

Na hata mifano yako ya push-ups na kupenda kuvaa combats, nayo yanaakisi kitu kile kile... kujimwambafai ili watu wamuogope! Na wala haikushangaza juzi issue ni maradhi lakini anaongea na watu wa vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…