Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Looser
Umeanza kuandika kibwiko sasa, Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee master of know it all.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looser
LooserUmeanza kuandika kibwiko sasa, Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee master of know it all.
Swali ambalo huwa najiuliza, ikiwa coronavirus imemfanya aikimbie Chato na kujificha huko, hivi hii nchi ikivamiwa kijeshi hata na kataifa kama Burundi au Comoro, si atakimbia na kwenda kuishi kwenye meli ya kijeshi kabisa, tena kati kati ya bahari, huku meli ikiwa imezungukwa na meli za kivita za kivita za kuilinda meli aliyojificha!!
Kwa kupenda kuvaa sare za kijeshi sasa... kumbe jamaa full lonya lonya!!
Unajua mwanzoni mwanzoni kabisa mwa utawala wake niliwahi kusema si mara moja wala mara mbili, kwamba JPM ni dhaifu kuliko JK lakini anaficha udhaifu wake kwa kuwatisha watu ili wamuogope...alianza na push-ups.
..baadae akaja kuvaa combats.
..lakini jinsi ulinzi wake ulivyo wa ajabu ni rahisi kujua kuwa he is paranoid.