MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Habari wadau
Nazani wote tunaona Trump anachofanya.
Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli.
Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana.
Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni mbahili kwenye kuruhusu matumizi yasiowafaidisha raia wake. Ndio maana ameanza na kuifuta USAID maana ilikuwa inakula hela za wamarekani.
Nikirudi kwa rais wetu aliyepita late Magufuli na yeye alikuwa mbahili kweli kweli kwenye upuuzi. Ila alikusanya kodi zaidi na kuwekeza kwenye mambo muhimu.. leo hii tunapanda treni ya umeme na kuenjoy bwawa la umeme na Flyovers
Hili ni funzo kubwa kwamba ubahili ni muhimu sana kwenye kuleta maendeleo.
Mtu kama Elon Musk ni tajiri kweli kweli na tena ni tajiri namba moja duniani.. ila na yeye ni mbahili kweli kweli. Ndie anaeiongoza Department of goverment efficiency ya USA ambayo inafuta hizo USAID
Hili ni funzo kwa mama samia
Akitaka kuifanya Tanzania iendelee lazima awe mbahili. Aache ku approve matumizi ya kijinga kama kununua V8.