Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Abiria walitegemea kupatiwa basi la akiba kumbe hawana! Lakini baya zaidi ni kitendo cha kuagiza spea toka Moshi!Poleni
Hawaziamini spea za DarAbiria walitegemea kupatiwa basi la akiba kumbe hawana! Lakini baya zaidi ni kitendo cha kuagiza spea toka Moshi!
Mkuu gari yeyote inahitaji matengenezo ya mara kwa mara ili yasitokee hayo hata Scania pia zinaharibika nyingi tu tatizo la Marangu ni Mmiliki kufariki naona wahuni wanaendesha Kampuni wanavyotaka...mbona hiyo ishu hakuna Shabiby, Ester na mengineyo ambao wamejaza Mchina...Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania
Scania reliability yake ni 99% hayo mengine ni <80% unasafiri na hofuMkuu gari yeyote inahitaji matengenezo ya mara kwa mara ili yasitokee hayo hata Scania pia zinaharibika nyingi tu tatizo la Marangu ni Mmiliki kufariki naona wahuni wanaendesha Kampuni wanavyotaka...mbona hiyo ishu hakuna Shabiby,Ester na mengineyo ambao wamejaza Mchina...
Braza narudia tena gari yeyote inahitaji ukaguzi wa mara kwa mara usiponielewa hapa basi tena Scania ngapi zinabuma Road hapa au sio msafiri wewe....Scania ni bora zaidi ya Mchina ila nae asipokaguliwa anakufa tuu...Scania reliability yake ni 99% hayo mengine ni <80% unasafiri na hofu
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania
Wamejirekebisha wana mabasi mazuri sana siku hiziTema Mate Chini, Kilimanjaro Moja Ya Tisa Alfajiri Kuna Siku Tuliondoka Saa Kumi Na Moja Bado Wana faults maana gari ilikuwepo pale na hatukubadilishiwa
... tena mshukuru siku hizi safari ni 24-hrs. Ingekuwa mwezi uliopita kurudi nyuma mngegandishwa pale Msata hadi kukuche ndio mruhusiwe!Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Najiuliza kwa nini spea haikuagizwa Dar ambapo ni karibu zaidi na Bagamoyo!Abiria walitegemea kupatiwa basi la akiba kumbe hawana! Lakini baya zaidi ni kitendo cha kuagiza spea toka Moshi!
Dar ujanja mwingi sanaHawaziamini spea za Dar
... biashara za kiswahili m'beba maono akitangulia na biashara humfuata tofauti na ngozi nyeupe.Marangu nayo inaelekea kuumaliza mwendo, inachechemea sijui shida n nn
Kilimanjaro yenyewe vimeo tu tatizo la mabasi ni maintenance tu. Hilo Kilimanjaro sina hamu nalo kabisa na tayari yashachoka.Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania
Huenda pia ana biashara ya spea moshiNajiuliza kwa nini spea haikuagizwa Dar ambapo ni karibu zaidi na Bagamoyo!
Spea inatoka Kilimanjaro halafu gari imeharibikia Bagamoyo?Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Ni changamoto hizi basi zimeshajichokea mno... biashara za kiswahili m'beba maono akitangulia na biashara humfuata tofauti na ngozi nyeupe.