Marangu Coach imefikia hatua hii

Marangu Coach imefikia hatua hii

Hii inadhihirisha kwamba hapa TZ mmiliki wa biashara akifa, uwezekano ni mkubwa baishara aliyoacha nayo itakufa kwa usimamizi mbovu
Sahihi kabisa
 
Yule wa kiume mpenda bata sana. Aligonga range la baba yake. Alitaka kurithi vingi zaidi kwakua ni wa kiume. Ni kama ana ule mfumo dume wa kikoloni wa enzi hizo uchaggani
Kifo cha huyu jamaa kiliniumiza sana, tena alienda kumcheki dereva wake hosp Aliekuwa anaumwa Covid-19 nae akatoka na kitu huko.
 
Kuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.
Huo ni upimbi na kutojali abiria.
 
Back
Top Bottom