babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Ati!anajisingizia punga ili apate kiki?haya mambo yanazidi kupunguza idadi ya marijali.Kumbe wanadaiwa tu na hakuna ushahidi?
Hata hivyo hizo ni technic tu za kupata kiki...kumbuka hata Eminem alishajitangaza kuwa ni Shoga, na kuna movie flan pia akisemea hivyo. Hayo yoote ni kutafuta tu attention ya watu juu yake.
ni kweli mkuunasikia hata martine kadinda nae ni shoga,je tetesi hizi nanyie wakuu mnazo??
Najua kwanini wewe na wengine wanadhani haiwezekani... unajua kwanini? Kwa sababu mnaona there's no way mtu kama Lil Wayne anaweza kukunjwa lakini mnachosahau, kwa Kiingereza sanifu; anayekunja na anayekunjwa wote wanaitwa gays ambayo kwa Kiswahili ni shoga!!!! Ukienda kwenye kizungu cha mtaa ndiko unakuta majina tofauti kati ya anayekunjwa na anayekunja! So, jamaa wanaweza kuwa regarded as gays kwa kuwatandika wenzao na sio kutandikwa wao!!!!Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Naam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.Najua kwanini wewe na wengine wanadhani haiwezekani... unajua kwanini? Kwa sababu mnaona there's no way mtu kama Lil Wayne anaweza kukunjwa lakini mnachosahau, kwa Kiingereza sanifu; anayekunja na anayekunjwa wote wanaitwa gays ambayo kwa Kiswahili ni shoga!!!! Ukienda kwenye kizungu cha mtaa ndiko unakuta majina tofauti kati ya anayekunjwa na anayekunja! So, jamaa wanaweza kuwa regarded as gays kwa kuwatandika wenzao na sio kutandikwa wao!!!!
Umesahau moja Vers....hawa wapo koteNaam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.
Sasa naelewa kuna bottom na top.
Bila shaka Lil Wayne na Dr. Dre ni 'matop'.
Tatizo sio wewe bali ni wao wenyewe wote kuwaita gays... na hata hiyo bottom na top sio standard English... ni American English ya mtaa... wengine wanatumia Catcher na Pitcher... hii nayo sio standard English bali Kizungu cha mtaa!!Naam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.
Sasa naelewa kuna bottom na top.
Bila shaka Lil Wayne na Dr. Dre ni 'matop'.
Same love niniPossibility ya Kuwa Bisexual ni kubwa...ila kusema Mtu kama Dre ni Homo$exual hai-make sense..
Kwenye Hii list kwanini Macklemore hayupo?
Duuuuh asanteni,nazidi kupata ufahamu juu ya hili.Umesahau moja Vers....hawa wapo kote
Tatizo sio wewe bali ni wao wenyewe wote kuwaita gays... na hata hiyo bottom na top sio standard English... ni American English ya mtaa... wengine wanatumia Catcher na Pitcher... hii nayo sio standard English bali Kizungu cha mtaa!!
Likikuchanjia unaliwa weweBusta lilivyo pande la mtu vile kwanza unalianzaje kulila kwa mfano.
Msipende kuamini kwa picha jamani,hata picha pia huweza kutengenezwa huu ni ulimwengu wa digitali etUongo wako huu bila picha Jamani!!!¡!!!
wote tuHivi gay ni anayegongwa tuu au na anayegonga???
Ya Dre nimeona clip moja hivi Tupac yuko kwenye sherehe then wakawa wanakuja mashoga Tupac akawaambia hey homoz get outa here Dre is not here. Wengi huko mbele wanasema jamaa Ni homo au bi. Kuimba rap ya kigumu kusikupumbazeHapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.