Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

nasikia hata martine kadinda nae ni shoga,je tetesi hizi nanyie wakuu mnazo??
 
Kumbe wanadaiwa tu na hakuna ushahidi?

Hata hivyo hizo ni technic tu za kupata kiki...kumbuka hata Eminem alishajitangaza kuwa ni Shoga, na kuna movie flan pia akisemea hivyo. Hayo yoote ni kutafuta tu attention ya watu juu yake.
Ati!anajisingizia punga ili apate kiki?haya mambo yanazidi kupunguza idadi ya marijali.
 
Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Najua kwanini wewe na wengine wanadhani haiwezekani... unajua kwanini? Kwa sababu mnaona there's no way mtu kama Lil Wayne anaweza kukunjwa lakini mnachosahau, kwa Kiingereza sanifu; anayekunja na anayekunjwa wote wanaitwa gays ambayo kwa Kiswahili ni shoga!!!! Ukienda kwenye kizungu cha mtaa ndiko unakuta majina tofauti kati ya anayekunjwa na anayekunja! So, jamaa wanaweza kuwa regarded as gays kwa kuwatandika wenzao na sio kutandikwa wao!!!!
 
Naam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.
Sasa naelewa kuna bottom na top.
Bila shaka Lil Wayne na Dr. Dre ni 'matop'.
 
Naam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.
Sasa naelewa kuna bottom na top.
Bila shaka Lil Wayne na Dr. Dre ni 'matop'.
Umesahau moja Vers....hawa wapo kote
 
Naam...wakati naandika hiyo post sikuwa na uelewa wa haya mambo ya gays kihivyo.
Sasa naelewa kuna bottom na top.
Bila shaka Lil Wayne na Dr. Dre ni 'matop'.
Tatizo sio wewe bali ni wao wenyewe wote kuwaita gays... na hata hiyo bottom na top sio standard English... ni American English ya mtaa... wengine wanatumia Catcher na Pitcher... hii nayo sio standard English bali Kizungu cha mtaa!!
 
Hizo skendo huwa wanazitangaza maksudi ili kumake headlines muda wote
 
Umesahau moja Vers....hawa wapo kote
Duuuuh asanteni,nazidi kupata ufahamu juu ya hili.
Tatizo sio wewe bali ni wao wenyewe wote kuwaita gays... na hata hiyo bottom na top sio standard English... ni American English ya mtaa... wengine wanatumia Catcher na Pitcher... hii nayo sio standard English bali Kizungu cha mtaa!!
 
Magic Jonson huyu ndiyo aliyenishangaza ana mtoto shoga na anampa saport ya nguvu
 
Du! Nilivyoona marapa sikuelewa maramoja mpaka ikabidi nisome body nikaelewa kumbe unamaanisha marapper!!
 
Uongo wako huu bila picha Jamani!!!¡!!!
Msipende kuamini kwa picha jamani,hata picha pia huweza kutengenezwa huu ni ulimwengu wa digitali et

Haimaanishi kwamba mimi nimeamini
Ni tahadhari tu nimetoa ili msikariri
 
Kuna picha dre alipiga akiwa na shoga halaf kondom ipo chini yaan ishatumiwa
 
Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Ya Dre nimeona clip moja hivi Tupac yuko kwenye sherehe then wakawa wanakuja mashoga Tupac akawaambia hey homoz get outa here Dre is not here. Wengi huko mbele wanasema jamaa Ni homo au bi. Kuimba rap ya kigumu kusikupumbaze
 
Wayne nimeona pic yake akilana mabusu na birdman plus another pic jamaa akiwa kama katoka bafuni na dogo wa kizungu huku wameshika KY Jelly... Halafu kuna huyu dogo anaitwa lily yatch sijui Ana semaga I sucked birdman's d***k
 
Back
Top Bottom