Marasta wana siri gani?

Marasta wana siri gani?

Ndio hicho nilimaanisha ila wao ni tofauti na mnavyoichukulia mtaani, ibada zao nimeshiriki ni watu poa sana na ndo dini yenye culture halisi ya africa
Ndio hivyo Ila Mshua alikuja badirisha akabatizwa alihama Imani ya rasta akanyoa rasta zote akawa Imani ya Kristu akiwa tayari Mzee kabla ya kufariki
 
Ndio hivyo Ila Mshua alikuja badirisha akabatizwa alihama Imani ya rasta akanyoa rasta zote akawa Imani ya Kristu akiwa tayari Mzee kabla ya kufariki

RIP mshua
Je, aliweza kusema ni kwanini alibadilisha?
 
Tutakie radhi masta
rasta na ushirikina wapi na wapi
Kwa akili yako unadhani kuwa mshirikina ni hadi uruke na ungo?

Nikusaidie kidogo. Pekenyua maana ya ushirikina (superstition), ndipo utagundua kwamba hao jamaa zako ni kundi moja na waganga warogaji.
 
Sijui kuhusu wanawake, hilo watajibu wenyewe

Ila kikawaida marasta huwa concious na aware sana kuhusu maisha yao binafsi, ya jamii na dunia nzima. Wapo makini sana na vitu wanavyoulisha ubongo wao hivyo, si ajabu huyo unaemuona mchafu, ukiingia kwenye mazungumzo nae, unaweza usimuingie hata robo kwa vitu alivyojaza upstairs

Kingine ni watu peaceful sana na wanaoishi maisha halisi "culture". Hawafuati trend za dunia, wanafuata ukweli halisi na vitu vinavyowapa furaha. Sio makondoo wa media au propaganda za siasa, wao huwa na misimamo yao binafsi.. Sio wanafki, sio fakers.. 100%OG according kwa dunia yao ndio maana anaweza kuwa na muonekano wa bhangi na knowledge ya CEO comfortably.

Kwa hiyo kwa watu wenye exposure na njaa ya knowledge kuliko udaku kama wazungu, Marasta ni rahisi kuvutiwa ama kushawishika nao
 
Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
I AM RASTAMAN kifupi tu usiangalie mtu kwa nje man angalia ndani... as we rastaman atuangalii mavaz au kiatu nyumba,gari au mali nk

TO BE A RASTAMAN TS NOT EASYMAN.
 
Mrisho Mpoto nae anazimikiwa na Mademu? 😅 em kuwen Serious
 
Back
Top Bottom