Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Primary kazi ya goalkeeper ni kuzuia asifungwe magoli.Buffon,Kahn,Casillas,Toldo,Van der Sar,Schmeichel,Taffarel hawa walikuwa makipa bora kwa kudaka sio kupiga pasiKwani Enderson hapigi pass?
Ter stegen anaongoza kwa saves ulaya lakini pass anamzidi pogba hilo tumelisema tu kama kumkumbusha pogbaPrimary kazi ya goalkeeper ni kuzuia asifungwe magoli.Buffon,Kahn,Casillas,Toldo,Van der Sar,Schmeichel,Taffarel hawa walikuwa makipa bora kwa kudaka sio kupiga pasi
Huu uwongo kawadanganye facebookTer stegen anaongoza kwa saves ulaya lakini pass anamzidi pogba hilo tumelisema tu kama kumkumbusha pogba
Leta hizo statistics zinazosema Ter Stegen ndio GK mwenye save nyingi ulayaMashabiki wa united bhana akili zenu matope matupu
Facebook imeingiae hapo?
Ndio maana nakwambia kawadangaye watoto wenzio FacebookGoogle tu mkuu utaziona akifuatiwa na jean oblack wa atletico Madrid
Kuhusu Degea tumuulize Ben yeddar
Si ulete hiyo linkSibishani na mtu mwenye primitive mind kama wewe
Kwaiyo unabishana na sky sport?
FYIKutaja Facebook ndyo kuelekeza?
Nenda katafute hiyo habari mtoto wa kiume kusubiri kuletea itakuja kuku cost baadae
Kwenye La Liga Ter Stegen hayuko kwenye top 5 ya makipa wenye save nyingi msimu huuAngalia kuhusu league 5 kubwa duniani sijasema UEFA mkuu
Wewe jamaa embu leta iyo list yako maana mm nimeingia sky sport naona terstegn moja oblack 2Kwenye La Liga Ter Stegen hayuko kwenye top 5 ya makipa wenye save nyingi msimu huu
Uliambiwa uweke link ukawa unarukaruka now unaniambia mimi nikuwekee hiyo linkWewe jamaa embu leta iyo list yako maana mm nimeingia sky sport naona terstegn moja oblack 2
Sasa isijekuwa unaongea kwa kubahatisha
Source ya hiyo information yako umeitoa wapi?
Isijekuwa nabishana na mtu anapata habari kutoka kwenye magazeti ya KIU
maana sky sport wamemumwagia sifa kede kede kuwa ni shout stopper
https://www.foxsports.com/soccer/stats?competition=2&category=goalkeeping&sort=10Uliambiwa uweke link ukawa unarukaruka now unaniambia mimi nikuwekee hiyo link
Kawadanganye watoto wenzio
Ni kweli, aje EPL tuone kama anaweza kuwa bora zaidiMakipa wote mliowataja ni wazuri sana. Tatizo wanakutana na wafungaji wazuri pia. Tukisifia makipa tusifie na wafungaji pia
Huwezi kuona logic kwa kuwa tayari akii yako imekaa kishabiki, EPL ni ligi ngumu, kila timu inacheza vizuri, muulize kocha pepe g ligi alizofanya kazi ipi ni ligi ngumu basi atakuambia Epl ni balaaaSioni logic yako mkuu sabubu team za EPL zimekutana nae UEFA na zinazionea mno team za Spain bila kujitetea