Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

Pep alimsajili Bravo kisa anapiga pasi alivyokuja England alifungwa pamoja na kupiga hizo pasi ikabidi amnunue Ederson
Kwani Enderson hapigi pass?
 
Kwani Enderson hapigi pass?
Primary kazi ya goalkeeper ni kuzuia asifungwe magoli.Buffon,Kahn,Casillas,Toldo,Van der Sar,Schmeichel,Taffarel hawa walikuwa makipa bora kwa kudaka sio kupiga pasi
 
Primary kazi ya goalkeeper ni kuzuia asifungwe magoli.Buffon,Kahn,Casillas,Toldo,Van der Sar,Schmeichel,Taffarel hawa walikuwa makipa bora kwa kudaka sio kupiga pasi
Ter stegen anaongoza kwa saves ulaya lakini pass anamzidi pogba hilo tumelisema tu kama kumkumbusha pogba
 
The guy is so good kwenye
1-1 chance ya kumfunga inakua ndogo... (small probability )
 
Leta hizo statistics zinazosema Ter Stegen ndio GK mwenye save nyingi ulaya
Google tu mkuu utaziona akifuatiwa na jean oblack wa atletico Madrid

Kuhusu Degea tumuulize Ben yeddar
 
Google tu mkuu utaziona akifuatiwa na jean oblack wa atletico Madrid

Kuhusu Degea tumuulize Ben yeddar
Ndio maana nakwambia kawadangaye watoto wenzio Facebook
 
Si ulete hiyo link

Mimi sibishani nakuelekeza
Kutaja Facebook ndyo kuelekeza?

Nenda katafute hiyo habari mtoto wa kiume kusubiri kuletea itakuja kuku cost baadae
 
Kutaja Facebook ndyo kuelekeza?

Nenda katafute hiyo habari mtoto wa kiume kusubiri kuletea itakuja kuku cost baadae
FYI
Kwenye Champions League 2017/2018 katika makipa 20 wenye save nyingi Ter Stegen hayupo kwenye hiyo list
 
FYI
Kwenye Champions League 2017/2018 katika makipa 20 wenye save nyingi Ter Stegen hayupo kwenye hiyo list
Angalia kuhusu league 5 kubwa duniani sijasema UEFA mkuu
 
Kwenye La Liga Ter Stegen hayuko kwenye top 5 ya makipa wenye save nyingi msimu huu
Wewe jamaa embu leta iyo list yako maana mm nimeingia sky sport naona terstegn moja oblack 2

Sasa isijekuwa unaongea kwa kubahatisha

Source ya hiyo information yako umeitoa wapi?

Isijekuwa nabishana na mtu anapata habari kutoka kwenye magazeti ya KIU

maana sky sport wamemumwagia sifa kede kede kuwa ni shout stopper
 
Uliambiwa uweke link ukawa unarukaruka now unaniambia mimi nikuwekee hiyo link
Kawadanganye watoto wenzio
 
Sioni logic yako mkuu sabubu team za EPL zimekutana nae UEFA na zinazionea mno team za Spain bila kujitetea
Huwezi kuona logic kwa kuwa tayari akii yako imekaa kishabiki, EPL ni ligi ngumu, kila timu inacheza vizuri, muulize kocha pepe g ligi alizofanya kazi ipi ni ligi ngumu basi atakuambia Epl ni balaaa
 
Back
Top Bottom