March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Vijana mmemuona Kibiwot Munge? Kijana wa miaka 19 kachukua Ubunge wa Eldamalavin. Vijana kwa makundi jiandaeni nanyi hapa TZ ili kuchukua Uongozi ama uwakilishi Bungeni
 
Haya sasa mambo yanaiva huko Bamas of Kenya! Naona makamishina wapo kwenye podium
 
Migori inamvuta Raila. Huko ni kwenye ngome yake mji wa wajaluo
 
Vijana mmemuona Kibiwot Munge? Kijana wa miaka 19 kachukua Ubunge wa Eldamalavin. Vijana kwa makundi jiandaeni nanyi hapa TZ ili kuchukua Uongozi ama uwakilishi Bungeni

Vijana hao kwa tiketi ya maccm hawawezi
 
ingemvuta kama ingekua na watu laki3... hiyo gap haizibiki

Mkuu angalia hapo juu naona Migori na eneo la samburu yamemvuta hadi sasa imekuwa tofaiti ni chini kidogo ya million moja lakini naona maji yameishazidi unga kwa Raila. Namuona mshirika wake mkuu Franklin arap Bet yupo Bomas huku ameshika tama.
 
Ijumaa bado haijaisha!!! Hata hivyo wanavuta muda ili watu walale wakiamka wakute tayari matokeo yametoka!!!

Tiba

Kwani Mkuu Tiba wewe utalala kabla ya kusikia sauti ya Mwwnyekiti wa IEBC ndugu Hassan akitoa matangazo ya mwisho? Mbona naona muda bado kidogo tu Hassan atatokea kukamilisha kazi
 
Last edited by a moderator:
Moi alitaka huyu kijana awe presidnt sasa yametimia odinga angegombea ubunge Urais hauweziii
 
wakikuyu ni 30% ya wakenya na sio wote wana sifa za kupia kura...sasa hapa hoja mufilisi inatoka wapi??
 
Back
Top Bottom