mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
wakuu hivi ile post ya cdm(raila) vs ccm(uhuru) imefutwa?
kwani magufuli ni cdm siku hizi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu hivi ile post ya cdm(raila) vs ccm(uhuru) imefutwa?
[MENTION]kimbunga [/MENTION]unajua unachopost?
Du kweli wewe Kimbunga, naona Uhuru anakuchanganya hutaki Raila apate hata moja.
niliposema kaandaliwa maana yake tumeoneshwa ukumbi wa mikutano wa kutangazia final results, tukaoneshwa live viti vilivyowekwa kwa ajili ya wafuasi wa juu wa uhuru, tukaambiwa kuwa atatoa hotuba. hatukuelezwa kuhusu ODINGA. ZAIDI KUWA UHURU AKIONDOKA HAPOMARA BAADA YA KUTANGAZWA ANAONDOKA NA ULINZI MKALI. MSHINDI KESHAJULIKANA NI TUME INAJIANDAA KUTANGAZA, NA VILEVILE UHURU ATOE HOTUBA YA SHUKRANI. HAYA YOTE YANATAKIWA KWENDA SAMBAMBA, HIVYO UHURU ANAJIANDAA KUTOA HOTUBA, TUME NAYO INAJIANDAA KUTANGAZA MSHINDI. HAPO TUNASEMA KUWA UHURU ANANDALIWA. FAHAMU KUWA MABO KAMA HAYA MSHINDI SIO ANATANGAZWA KWA KUSHUTUKIZWA.
asilimia ngapi hizo mkuu?Kenyatta 5,847,115
Odinga 5,063,829
272/291 constituencies
asilimia ngapi hizo mkuu?
Kwa hiyo hizi ndo tutaamka nazo au tutakuta zimeongezeka? Ila Raila anajitahidi kupunguza gap, toka zaidi ya milioni hadi kwenye laki saba.Kenyatta 5,847,115
Odinga 5,063,829
272/291 constituencies
Kwa hiyo hizi ndo tutaamka nazo au tutakuta zimeongezeka? Ila Raila anajitahidi kupunguza gap, toka zaidi ya milioni hadi kwenye laki saba.
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....
Majina haya hapa:
Narok South, Narok West, Laisamis, Rangwe, Mbita, Suna