March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

niliposema kaandaliwa maana yake tumeoneshwa ukumbi wa mikutano wa kutangazia final results, tukaoneshwa live viti vilivyowekwa kwa ajili ya wafuasi wa juu wa uhuru, tukaambiwa kuwa atatoa hotuba. hatukuelezwa kuhusu ODINGA. ZAIDI KUWA UHURU AKIONDOKA HAPOMARA BAADA YA KUTANGAZWA ANAONDOKA NA ULINZI MKALI. MSHINDI KESHAJULIKANA NI TUME INAJIANDAA KUTANGAZA, NA VILEVILE UHURU ATOE HOTUBA YA SHUKRANI. HAYA YOTE YANATAKIWA KWENDA SAMBAMBA, HIVYO UHURU ANAJIANDAA KUTOA HOTUBA, TUME NAYO INAJIANDAA KUTANGAZA MSHINDI. HAPO TUNASEMA KUWA UHURU ANANDALIWA. FAHAMU KUWA MABO KAMA HAYA MSHINDI SIO ANATANGAZWA KWA KUSHUTUKIZWA.

Kijana,once again pale sio sehemu yA kutangazia final results,nilikuwa naangalia pia lakini wewe ukaelewa ulivyotaka wewe,hata nyongeza yako uliyoweka wewe mwenyewe imeeleza vema ni jubilee wameandaa party na sio UHURU AMEANDALIWA KUTANGAZWA!kama utashindwa kuiona tofauti hapo sina msaada zaidi kwako
 
Dah.....final results ni mpaka kesho ambapo hawa masela wa IEBC watakapotoa declaration, that will be saa tano asubuhi.......damn
 
Dah.....final results ni mpaka kesho ambapo hawa masela wa IEBC watakapotoa declaration, that will be saa tano asubuhi.......damn.
Afadhali Crashwise alijiamulia mapema kwenda kulala.
 
Last edited by a moderator:
Mambo yanaendelea huku jamani,nyie laleni mkiamka mtakuta rais wenu tayari

Kinyatta 6,030,334
Odinga 5,170,112

280/291
 
Wanapiga nyimbo za dini, amani amani amaniiiii
no worries guys, no one is dreaming of killing anyone🙂

Usiku mwema :sleepy:
 
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....

Majina haya hapa:


Narok South, Narok West, Laisamis, Rangwe, Mbita, Suna
 
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....

Majina haya hapa:


Narok South, Narok West, Laisamis, Rangwe, Mbita, Suna

You are way behind!

288/291

Uhuru at 6,106,543

Raila at 5, 305,150

a difference of 801,393.

It's a wrap for Raila.
 
Back
Top Bottom