March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

haya si matokeo ni mtazamo, weka details
 
Mambo kwa muda huu;

Uhuru - 80,490 votes - 55.81%
Raila - 61,833 votes - 42.22%

Tiba
 
Ni matokeo yanatoka live tizama NTV..uhuru ako analead.
 
KTN.. Uhuru 53%
raila 43% bado ngoma inaendelea.
 
Haya wakenya wenzetu. All the best and GOD Bless your work.
 
Anza basi kutuwekea ambao tuko mbali na ving'amuzi,si unajua wengine bado tukoANALOGIA MKUU.
 
Mambo kwa muda huu;

Uhuru - 80,490 votes - 55.81%
Raila - 61,833 votes - 42.22%

Tiba
Wameanzia kutangaza ya Central nini? Usitake kutuua kwa pressure bure!!
 
uhuru anachukua nchi jamani....vp kuhusu raila jamani zimekuwa ni ndoto toka enzi za baba yake
 
Update kwa muda huu;

Uhuru 106,469 - 55.2%
Raila 86,652 - 41.7%

Tiba
 
Uchaguzi unaoendelea kenya unaonyesha ushindani mkali sana kati ya Uhuru kenyatta na Raila Odinga.Kwa hali inayoendelea huko Uhuru Kenyatta inaonekana ataukwaa urais wa nchi hiyo.Uhuru kenyatta anaungwaji mkubwa wa wananchi wa Mombasa na maeneo mengine ya pwani ambayo Raila Odinga safari hii amekosa ungwaji huo.

Kama ambavyo mnavyojua kenya inaukabila wa hali ya juu,ili mgombea aweze kupata nafasi ya kujihakikishia ushindi lazima awe na ushawishi na maeneo ya Mombasa na mikoa ya pwani kwa ujumla ambayo hayaja athirika na ukabila.
 
Mambo yanaongezeka;

Uhuru 130,290 - 56.0%
Raila 99,486 -40.6%

Tiba
 

All the noise they were making, yet these guys were not ready to carry out these elections.

Add the fact that in a number of areas the so called BVR kits did not work and people went back
to manual registers....billions of taxpayers money just got wasted!
 
Hongera sana Kenyans. If anything tz should learn this year is Kenya election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…