March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

nadhani ni kwelii coz ntv nao wanatangaza live na uhuru anaonekana kuongoza kwa 55%
 
Uhuru kenyatta azidi kung'ara kadiri matokeo yanapozidi kutangazwa.Wanachi wakumbuka mchango wa Baba ake kwa kenya
 
Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 310,880, Raila Odinga (ODM) 210,418, Mudavadi (UDF) 9,825, Kiyiapi (RBK) 2,212, Kenneth (Eagle) 2,810, Karua (Narc Kenya) 1,929, Dida (ARC) 1,120
 
ahsanteni wakuu!! kenyans r far from us by far!

Subiri, mbona mapema nakushauri uitunze kauli yako mpaka hapo mshindi atakapotangazwa ndio utawajua sasa Wakenya, kuna watu wananoa mapanga sasa hivi. yoyote atakayeshinda hakuna upande utakaokubali, Wakikuyu hawawezi kukubali kutawaliwa na Mjaluo na wajaluo wamechoka kutawaliwa na Wakikuyu wanasema sasa ni zamu yao hata iweje! Usiwasifu mapema hivyo!

 
Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 344,794, Raila Odinga (ODM) 233,179, Mudavadi (UDF) 12,322, Kiyiapi (RBK) 2,468, Kenneth (Eagle) 3,062, Karua (Narc Kenya) 2,171, Dida (ARC) 1,207
 
Update saa moja na dakika 20 usiku;

Uhuru - 366,161 57.22%
Raila - 249,744 38.92%

Tiba
 
usipotoshe mapema hivi mpaka saa 12.38 uhuru alikuwa anaongoza 84,000 dhidi ya 65,000 za raila, ni mapema mno kutabiri. kuhusu ukanda wa pwani wanamuunga mkono Raila na wala si Kenyata

Mbona inaonekana Uhuru amemzidi sana Odinga hebu tudadavulie maoni yako Mwikimbi
 
I hope Uhuru Kenyatta will be a Winner
Sijui itakuwaje Leila Odinga kama akishindwa kuibuka mshindi,maana vurugu Kenya huwa zinaanza baada ya kutangazwa kwa matokeo,Mungu awatangulie wakenya
 
Uchaguzi wa awamu hii inaonekana ni wa amani na utulivu wa hali ya juu...yaliyotokea mombasa siamini kama yanaweza kuvuruga uchaguzi. kila la heri wakenya.
 
Kweli kabisa tuwaombee wenzetu!

Uchaguzi wa awamu hii inaonekana ni wa amani na utulivu wa hali ya juu...yaliyotokea mombasa siamini kama yanaweza kuvuruga uchaguzi. kila la heri wakenya.
 
nadhani ni kwelii coz ntv nao wanatangaza live na uhuru anaonekana kuongoza kwa 55%


Hao ushuzi wanaobishana na hiyo habari ukiwauliza saa hizi wako wapi?
Watakujibu wako Kilabuni wanaangalia FUTUHI...

Shenz type
 
Sasa kule ICC itakuwaje akifungwa!! Ha ha ha!! Tusubiri kitufe cha mwisho!
 
Dah kweli mchuano mzito kati ya Kenyatta na Odinga. Hapa naona unenda duru ya pili.
 
Back
Top Bottom