matokeo ya nchi nzima,yanabadilika kila dakika,ila uhuru ndo anaongoza.sawasawa
Uchagu unaoendelea kenya unaonyesha ushindani mkali sana kati ya Uhuru kenyatta na Laila Odinga.Kwa hali inayoendelea huko Uhuru Kenyatta inaonekana ataukwaa urais wa nchi hiyo.Uhuru kenyatta anaungwaji mkubwa wa wananchi wa Mombasa na maeneo mengine ya pwani ambayo Laila Odinga safari hii amekosa ungwaji huo.
Kama ambavyo mnavyojua kenya inaukabila wa hali ya juu,ili mgombea aweze kupata nafasi ya kujihakikishia ushindi lazima awe na ushawishi na maeneo ya Mombasa na mikoa ya pwani kwa ujumla ambayo hayaja athirika na ukabila.
Mambo yalivyo sasa saa moja na dakika 50;
Uhuru - 144,380 - 55.9%
Raila - 107,000 - 40.6%
Kwa jinsi matokeo yanavyotoka, Tanzania tuna kitu cha kujifunza, tume ya uchaguzi iko connected na TV zote na results zinarushwa on line!!!!
Tiba
ofkoz ni uhuru! hubby yupo kwao kaenda jana! eti ni kupiga kura, ananipaje mawazo na hapatikani kwenye simu?? nafwaje mie kwa kihoro?? yaani huu uchaguzi upite salama arudi salama! AMEN!