March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kwa mujibu wa matokeo ambayo yamekwishatangazwa mpaka sasa ni kwamba Kinyatta ameshapata kura 430,000 na mpinzani wake wa karibu Bwana Raila ameshapata kura 170,400
Chanzo: Daily nation
 
UHURUTO 57% na Raila 38% K24 tv
 
Haya ni matokeo ya vituo chache sana kura zilizohesabiwa hata milion 2 bado na takriban kura milion 12 zinaitajika fatilieni KTN facebook
 
Mtu mmoja kaniambia kuwa kenya kunawaka moto ni kweli naomba aliyeko huko kenya au mwenye ndugu yake anitaarifu. Mi simpati jamaa yangu
 
Update

Uhuru - 441,708 57.41%
Raila - 298,089 38.72%

Tiba
 
Mmmh.......ni mapema mno kusema chochote......kwa sasa.......
 
Kwa mujibu wa matokeo ambayo yamekwishatangazwa mpaka sasa ni kwamba Kinyatta ameshapata kura 430,000 na mpinzani wake wa karibu Bwana Raila ameshapata kura 170,400
Chanzo: Daily nation

mchuano bado sana,kwani kura hzo ni laki 5,bado kura nyingi hazijahesabiwa,
 
hii ni jumla ya matokeo ya county ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…