March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Hali ilivyo saa 5:20 usiku

Uhuru 712,634 - 56.1%
Raila 505,557 - 39.7%

Tiba
 
Hali ilivyo saa 5:20 usiku

Uhuru 712,634 - 56.1%
Raila 505,557 - 39.7%

Tiba

Is it me au kwenye hii marathon gap ishaanza kupungua ?

Kweli hii sio sprint bali ni marathon, mpaka kura ya mwisho itakapohesabiwa Champagne inabidi zibaki kwenye jokofu
 
bado sana na raila atampiga bao tu uhuru mtaniambia
 
Huu ni mpambano mkali sana sawa na wa simba na yanga mmoja lazima alale hata kama ni kwa goli moja (1%)
 
Monday 23:39

KENYATTA 718,---
ODINGA 510,---
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Hiyo ndo inaitwa demokrasia, maana halisi ya demokrasia sio kwamba lazima uchague mtu bora hapana, bali unachagua kwa utashi-demokrasia
yaani demokulaishia maana yake unaweza kuchgua bora mtu na sio mtu bora
 
Saa 5:40 usiku - update

Uhuru 718,931 - 56.03%
Raila 510,013 - 39.75%

Tiba
 
Nimechoka sasa naenda kupumzika nitaendelea kuwapa update kesho!!!

Tiba
 
Saa 5:40 usiku - update

Uhuru 718,931 - 56.03%
Raila 510,013 - 39.75%

Tiba

mkuu wangu, kuna uwezekano wa kuonyesha % ya counted votes kila unapo-update matokeo?

ukiongeza hiyo variable, itakuwa imeboresha barometer ya kupimia mstakabali wa matokeo.
kwa hesabu za haraka haraka naweza kukadiria kama 15% or thereabouts ndizo counted votes until this minute.

so, still too soon for any champagne popping by uhuru & co!
 
My projection Raila will win the race
 
Kenyatta ndo president :thumbup::thumbup::thumbup:
 
up to now the results are:
Votes registered 14,410,976
votes counted are 1,296,207
uhuru kenyatta is leading by 56%
railla odinga 40%
 
kwa matokeo hayo kuna mambo mawili yanaweza kutokea;
1:UCHAGUZI KUINGIA RAUNDI YA PILI
2: ODINGA KUSHINDA KWA TOFAUTI NDOGO SANA YA KURA
NA KWA BAHATI SANA UHURU KUPENYA ILA SI RAHISI
 
Nimechoka sasa naenda kupumzika nitaendelea kuwapa update kesho!!!

Tiba

mkuu Tiba nimekukubali mkuu, shukran sana kak, endelea kutupatia updates kesho ukiamka salama salmin,

lala unono mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…