Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ilivyo saa 5:20 usiku
Uhuru 712,634 - 56.1%
Raila 505,557 - 39.7%
Tiba
bado sana na raila atampiga bao tu uhuru mtaniambia
yaani demokulaishia maana yake unaweza kuchgua bora mtu na sio mtu boraUsitukane mamba kabla hujavuka mto. Hiyo ndo inaitwa demokrasia, maana halisi ya demokrasia sio kwamba lazima uchague mtu bora hapana, bali unachagua kwa utashi-demokrasia
Saa 5:40 usiku - update
Uhuru 718,931 - 56.03%
Raila 510,013 - 39.75%
Tiba
bado wapi wakati anazidi kuachwa mbali?