kwani ni asilimia ngapi ya kura zote ambazo zimesha hesabiwa mpaka uhofu..
Ni kweli anashinda urais na hili lilikuwa wazi kwa mtu aliyefatilia kwa ukaribu compaign zao.Timu ya Odinga haikuwa makini kusoma mchezo wamegundua kipindi filimbi ya mwisho inapigwa ya kumaliza mchezo.
Pole sana Raila haikuwa bahati yako kuwa rais wa Kenya baada ya 2007 ulikosa mkakati wa kukufikisha 2013.
cc.Man
Amesema sauti ya Ujerumani wametangaza wee unambishia unasema unasikiliza BBC, haya hao BBC wamesema tofauti? kubali ukweli ameshagaragazwa na safari hii hakuna cha ku-share madaraka!!
Mimi ninachowaomba wakenya tu atakaeshindwa naakubali. Safari hii sifikiri kuna atakaeiba kura.
Haya matokeo yangekuwa on favor ya Raila, Uhuru alikuwa likely kukubali kushindwa sasa issue ni huyu Raila atakubali kweli kushindwa ukizingatia alikuwa amejiamini sana halafu mbaya zaidi anabackup ya serikali za Marekani na Uingereza.Mimi ninachowaomba wakenya tu atakaeshindwa naakubali. Safari hii sifikiri kuna atakaeiba kura.
sa hivi ni zaidi ya 30% na wanatoa matokeo randomly...
Hapo sasa! tusubiri tuone ila ina maana atasema Uhuru kamuibia? Haitaingia akilini.Nadhani itabidi akubali.Hata hivyo sasa hivi wakenya wako aware na ICC.Haya matokeo yangekuwa on favor ya Raila, Uhuru alikuwa likely kukubali kushindwa sasa issue ni huyu Raila atakubali kweli kushindwa ukizingatia alikuwa amejiamini sana halafu mbaya zaidi anabackup ya serikali za Marekani na Uingereza.
Kwa hiyo utakubaliana na mimi kwamba hizo sehemu ambazo wewe umeziita ni kwa ajili infrastructure nzuri znafavor wote sio? kwamba kwa wale wanamuunga mkono Odinga na Uhuru, ndio base yangu ilpolala hapo ya kua ni kama randomly vile kwa kua haingaliii upande gani zaidi ni wa Uhuru au OdingaZanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
Tatizo hatujui idadi ya waliopiga kura, hiyo 10M haiwezi kufika wala kukaribia labda kama turnout ilikuwa over 98% kitu ambacho sio rahisi, tukiassume kwamba turnout ilikuwa 70% basi idadi iliyobaki ni kama 6M.Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
Kwa hiyo utakubaliana na mimi kwamba hizo sehemu ambazo wewe umeziita ni kwa ajili infrastructure nzuri znafavor wote sio? kwamba kwa wale wanamuunga mkono Odinga na Uhuru, ndio base yangu ilpolala hapo ya kua ni kama randomly vile kwa kua haingaliii upande gani zaidi ni wa Uhuru au Odinga