March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Wishing you all the best and a peaceful country not one in tatters
 
Whahaaaa, i predicted a win for uhuru, the right choice
 
mitambo imegoma au vingamuzi vimeishiwa salio? nini maana naona hakuna ongezeko lolote kwa muda mrefu sasa kwenye web ya iebc na hata hizi tv zote naona wamenasiana
 
Hali ni mbaya kwa Raila, anajaribu kupunguza percentage lakini gap la kura halisi linaongezeka, akifanikiwa kufikisha 45% uchaguzi unaweza kurudiwa. Ngoma ni kufikisha hizo asilimia.
 
Mimi ninachowaomba wakenya tu atakaeshindwa naakubali. Safari hii sifikiri kuna atakaeiba kura.
 
Ni kweli anashinda urais na hili lilikuwa wazi kwa mtu aliyefatilia kwa ukaribu compaign zao.Timu ya Odinga haikuwa makini kusoma mchezo wamegundua kipindi filimbi ya mwisho inapigwa ya kumaliza mchezo.

Pole sana Raila haikuwa bahati yako kuwa rais wa Kenya baada ya 2007 ulikosa mkakati wa kukufikisha 2013.
cc.Man

Mkuu unaweza kutujuza ni wapi mzee wetu huyu amebugi !
 
Amesema sauti ya Ujerumani wametangaza wee unambishia unasema unasikiliza BBC, haya hao BBC wamesema tofauti? kubali ukweli ameshagaragazwa na safari hii hakuna cha ku-share madaraka!!

Usitoke povu hadi sasa ni 25% YA KURA ZILIZOZOHASABIWA. Ushabiki unaweza kukulemaza tunazungumzia taarifa kwa nini niamini DW wakati naweza kulinganisha taarifa.
 
Mimi ninachowaomba wakenya tu atakaeshindwa naakubali. Safari hii sifikiri kuna atakaeiba kura.

Kwa mtindo huu wa kura kuwa-updated on line, hakuna suala la kuiba kura labda huo mchezo ufanyike huko kwenye vituo vya kuhesabia kura. Tunataka na sisi tuige mtindo huu next election hakuna cha majumuisho kufanyika under carpet, kila kitu on line.

Tiba
 
Mimi ninachowaomba wakenya tu atakaeshindwa naakubali. Safari hii sifikiri kuna atakaeiba kura.
Haya matokeo yangekuwa on favor ya Raila, Uhuru alikuwa likely kukubali kushindwa sasa issue ni huyu Raila atakubali kweli kushindwa ukizingatia alikuwa amejiamini sana halafu mbaya zaidi anabackup ya serikali za Marekani na Uingereza.
 
should uhuru win (mana nasikia kambi ya Jubilee wameshapata matokeo yote sasa wanajiandaa na pres conference) inamana laila kwishney
 
sa hivi ni zaidi ya 30% na wanatoa matokeo randomly...

Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
 
Haya matokeo yangekuwa on favor ya Raila, Uhuru alikuwa likely kukubali kushindwa sasa issue ni huyu Raila atakubali kweli kushindwa ukizingatia alikuwa amejiamini sana halafu mbaya zaidi anabackup ya serikali za Marekani na Uingereza.
Hapo sasa! tusubiri tuone ila ina maana atasema Uhuru kamuibia? Haitaingia akilini.Nadhani itabidi akubali.Hata hivyo sasa hivi wakenya wako aware na ICC.
 
Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
Kwa hiyo utakubaliana na mimi kwamba hizo sehemu ambazo wewe umeziita ni kwa ajili infrastructure nzuri znafavor wote sio? kwamba kwa wale wanamuunga mkono Odinga na Uhuru, ndio base yangu ilpolala hapo ya kua ni kama randomly vile kwa kua haingaliii upande gani zaidi ni wa Uhuru au Odinga
 
Kwa hali inavyokwenda Uhuru naona anendelea kuchanja mbuga maana mpaka sasa hivi kura anazomzidi Odinga zinaongezeka alikuwa anamzidi laki 448..... lakini zimeongezeka mpaka laki 489.....
 
Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
Tatizo hatujui idadi ya waliopiga kura, hiyo 10M haiwezi kufika wala kukaribia labda kama turnout ilikuwa over 98% kitu ambacho sio rahisi, tukiassume kwamba turnout ilikuwa 70% basi idadi iliyobaki ni kama 6M.
 
Kwa hiyo utakubaliana na mimi kwamba hizo sehemu ambazo wewe umeziita ni kwa ajili infrastructure nzuri znafavor wote sio? kwamba kwa wale wanamuunga mkono Odinga na Uhuru, ndio base yangu ilpolala hapo ya kua ni kama randomly vile kwa kua haingaliii upande gani zaidi ni wa Uhuru au Odinga

Soma kwa makini habari hii na utapata jibu BBC News - Kenya awaits presidential election results
 
Back
Top Bottom