Umemsahau bosi wako JK......kwani ye kijana!
Kura zilizo hesabiwa ni chini ya 26% ya kura zote kwa mtu makini,aliyesoma vizuri hesabu ya darasa la tano na mwenye busara ya kawaida tu si rahisi kusema fulani anaelekea kushinda wakati aanayeongoza ana 54.78% akifuatiwa na mwenye 40.71% katika hizo 26% ya kura zilizo hesabiwa .Pia mi nadhani ni kazi ya Tume ya uchaguzi Kenya kutangaza mshindi.Tuambiane idadi ya kura, kutangaza mshindi kenya tuiachie tume ya uchaguzi Kenya.
Kama JK ni mzee, Dr. Slaa atakuwa nani?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
But absolutely I'm very familiar with that cliche but let me ask you this simple question Democracy is a government of the people by the people and for the people but Democracy in Kenya is a government of tf the Kikuyu.by the Kikuyu and for the Kikuyu Why is that????Really? I thought Uhuru is running for public office like any other citizens. It is Kenyans to decide whether they want him or not. ....ohh..nearly forgot....familiar with democracy cliche from our big brother? Probably you are...
Hivi huyo Mlevi hapo TBCCM Clemence Mshana kwa nini asitoke hata kwa kutekwa Nyara.TBCCM wako busy na nyumba ya jirani wakati habari za ndani against CCM's government wanaziskip!
Unaongelea silaha au slaa??? Silaha ni meya na Slaa ni Katibu mkuu CDM. Au unaongelea silaha za wazee wa vitu vizito na vyenye ncha kali????silaha ana 66 unazungumzia rika au miaka.mtu akizeeka mwili na akili inazeeka
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Kwani ikulu wanaenda kukwapua na kutoka spidi...hawaendi kuiba simu mkuu.Ujana wewe ndiyo unaokufaa kwa hiyo shughuli yako
Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
Kura mill 14,zilizohesabiwa mill 4! Ngoma bado mbichi,subir waanze kuhesabu za nyanza ndo utajua nani mshnd,
Kura mill 14,zilizohesabiwa mill 4! Ngoma bado mbichi,subir waanze kuhesabu za nyanza ndo utajua nani mshnd,
Vijana wapi unao waongelea? au ni hawa wasio kuwa na busara, wanao kuwa driven na njaa zao kiasi cha kuiba simu, tena simu ya mchina? Hawa hawa wanaofikiria kwa kutumia tumbo badala ya kutumia kichwa?