Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
wakuu kwa sehemu zilizobaki tunaweza tegemea U-turn ya matokeo au ndio tayari yatabaki hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama JK ni mzee, Dr. Slaa atakuwa nani?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hoja ya msingi hapa ni Uhuru Kenyatta anaelekea kushinda kwa hali ilivyo sasa, hayo mambo ya hesabu za darasa la tano, au mambo ya busara hapa hayana tija, ungekua na busara usinge toa lugha ya dharau hapa unless unatumia masaburi kufikiriKura zilizo hesabiwa ni chini ya 26% ya kura zote kwa mtu makini,aliyesoma vizuri hesabu ya darasa la tano na mwenye busara ya kawaida tu si rahisi kusema fulani anaelekea kushinda wakati aanayeongoza ana 54.78% akifuatiwa na mwenye 40.71% katika hizo 26% ya kura zilizo hesabiwa .Pia mi nadhani ni kazi ya Tume ya uchaguzi Kenya kutangaza mshindi.Tuambiane idadi ya kura, kutangaza mshindi kenya tuiachie tume ya uchaguzi Kenya.
But absolutely I'm very familiar with that cliche but let me ask you this simple question Democracy is a government of the people by the people and for the people but Democracy in Kenya is a government of tf the Kikuyu.by the Kikuyu and for the Kikuyu Why is that????
Nyinyi ndio wale mlioandika namna ya kuandaa mdahalo ni kuuosha, kuukatakata na kuuinjika jikoni. Ubabu hauna uhusiano wowote na uzee/umri mkubwa. Inategemea tu mtu umeanza kujukuu lini. Assume kijana wa kiume akiwa na miaka 16, akampa msichana mimba then akiwa na miaka 17 akapata mtoto wa kike halafu huyo mtoto wa kike 18 years later naye akapata mtoto. Huoni kuwa huyo kijana atakuwa amequalify kuitwa babu akiwa na miaka 35 tu???? Sasa hapo huoni kama ubabu na uzee ni vitu visivyo na uhusiano wa moja kwa moja??? Huoni kuwa kuna posibility ya kuwa babu ukiwa bado kijana???atakuwa babu
habari za hivi punde kutoka katika kituo kikuu cha uhesabuji wa kura mjini nairobi, ni kwamba mgombea wa muungano wa jubillee bwana uhuru kenyata anaongoza kwa 54 dhidi ya odinga kwa 40.ACCORDING TO BBC.
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Hivi huyo Mlevi hapo TBCCM Clemence Mshana kwa nini asitoke hata kwa kutekwa Nyara.
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Moderators hapo kwenye red vipi ? Huyu jamaa naona anatafuta ban kwa nguvu zake zote.
my web ushauri wangu kwako ni kwamba "usianzishe ugomvi wa kurushiana mawe uswahilini ilkhali wewe unaishi kwenye jumba la vioo".
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!
afadhali wewe umenipa moyo..
Kwani ikulu wanaenda kukwapua na kutoka spidi...hawaendi kuiba simu mkuu.Ujana wewe ndiyo unaokufaa kwa hiyo shughuli yako
What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC