March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

wakuu kwa sehemu zilizobaki tunaweza tegemea U-turn ya matokeo au ndio tayari yatabaki hivihivi
 
Kama JK ni mzee, Dr. Slaa atakuwa nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huyo alishamtaja kwenye posti yake hapo juu.
Lakini utambue ya kuwa umri sio kigezo kigezo cha kuwa kiongozi bora, TUNAHITAJI MTU MZALENDO, MWENYE UCHUNGU NA TAIFA LAKE,ASIYEOGOPA KUFANYA MAAMUZI, ASIYEKUMBATIA USWAHIBA NA URAFIKI.
Tunahitaji mtu shupavu, mwenye kujua kwa nini nchi yetu ni ,masikini licha ya kuwa na rasilimali kibao, asiyekumbatia ufisadi.
Tunahitaji mtu jasiri na mwenye maono, asiyetumia hovyo pesa za wavuja jasho wa nchi yake kwa safari zisizo na tija, anayetambua sababu za kuanguka kwa elimu bila tume, kushindwa kwa sera ya kilimo kwanza, mwenye busara na atakayetoa suluhu ya matatizo ya taifa hili badala ya kulalamika na kunung'unika.
HIZO NDO SIFA STAHIKI ZA KIONGOZI TUMTAKAYE, WALA SIO UMRI WAKE, DINI YAKE, KABILA LAKE AMA RANGI YAKE!
 
Big up Uhuru Kenyatta, Matokeo haya na jinsi Mwendesha Mashtaka Fatou Bensouda alivyoliona kwamba lilikuwa ni la kisiasa zaidi kuwaingiza katika kesi hii akina Uhuru Kenyatta na wenzake itajulikana na lilikuwa ni jambo la kushangaza sana kuhusu kuhusika kwa Uhuru katika machafuko ya mwaka 2007 wakati wahusika wakuu wakiachwa katika mashtaka haya, wakati tukijiuliza hilo Moren Ocampo amekiri rasmi kuwa alipata shinikizo kuhusu hilo, tunashukuru Mungu Wakenya wenyewe wameamua ili kuonyesha ni jinsi gani hawa tunaoamini ni vyombo vya haki vya kimataifa si Competent.
 
Kura zilizo hesabiwa ni chini ya 26% ya kura zote kwa mtu makini,aliyesoma vizuri hesabu ya darasa la tano na mwenye busara ya kawaida tu si rahisi kusema fulani anaelekea kushinda wakati aanayeongoza ana 54.78% akifuatiwa na mwenye 40.71% katika hizo 26% ya kura zilizo hesabiwa .Pia mi nadhani ni kazi ya Tume ya uchaguzi Kenya kutangaza mshindi.Tuambiane idadi ya kura, kutangaza mshindi kenya tuiachie tume ya uchaguzi Kenya.
hoja ya msingi hapa ni Uhuru Kenyatta anaelekea kushinda kwa hali ilivyo sasa, hayo mambo ya hesabu za darasa la tano, au mambo ya busara hapa hayana tija, ungekua na busara usinge toa lugha ya dharau hapa unless unatumia masaburi kufikiri
 
But absolutely I'm very familiar with that cliche but let me ask you this simple question Democracy is a government of the people by the people and for the people but Democracy in Kenya is a government of tf the Kikuyu.by the Kikuyu and for the Kikuyu Why is that????

Brother, lets get over this objectively. Unless you want to tell Kenyans what is good for them! Ni yale yale ya US..to control Hamas..let us support electoral process in Western Bank and Gaza.....'we are sure Hamas will be rejected on a ballot box as terrorists'..well, we all know what happened..and shamelessly..US insisted you..know we cant respect that choice if it legitimates Hamas...Really? Why keep on changing goal post? last time it was violence..today its Kikuyu factor? Really? Do they vote twice than any other Kenyans?

Comrade thats the paradox of the so called democracy. You can lay it on Kikuyus, Jaluos etcs..lakini ukweli unabaki..wananchi wa Kenya wanamtaka Uhuru (mfano akishinda)..thats the message which should be respected clearly kama tunaishi kwenye dunia inayoheshimu haki za watu kujiamlia mambo wenyewe. Kwamba wamempigia kura wakijua ICC exists..goes along way to show how this man is accepted by those who vote for him...

To me, Uhuru and Ruto, should they win..will be not a test case for ICC only..but will aptly expose the West`s hypocricy...and I can assure you...... Forever..Uhuru will be seen as a victim of western conspiracy. And I am sure no western country would wish to be seen to push against what Kenyan people want.

Na I believe, Uhuru and Ruto..will never skip ICC..but sidhani kama dada yetu Bensouda...ana guts..za kwenda kufunga watu waliochaguliwa na wananchi..hard choices need to be made by the so called international community in this issue.
 
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!
 
atakuwa babu
Nyinyi ndio wale mlioandika namna ya kuandaa mdahalo ni kuuosha, kuukatakata na kuuinjika jikoni. Ubabu hauna uhusiano wowote na uzee/umri mkubwa. Inategemea tu mtu umeanza kujukuu lini. Assume kijana wa kiume akiwa na miaka 16, akampa msichana mimba then akiwa na miaka 17 akapata mtoto wa kike halafu huyo mtoto wa kike 18 years later naye akapata mtoto. Huoni kuwa huyo kijana atakuwa amequalify kuitwa babu akiwa na miaka 35 tu???? Sasa hapo huoni kama ubabu na uzee ni vitu visivyo na uhusiano wa moja kwa moja??? Huoni kuwa kuna posibility ya kuwa babu ukiwa bado kijana???
 
habari za hivi punde kutoka katika kituo kikuu cha uhesabuji wa kura mjini nairobi, ni kwamba mgombea wa muungano wa jubillee bwana uhuru kenyata anaongoza kwa 54 dhidi ya odinga kwa 40.ACCORDING TO BBC.

Mkuu watu tunaangalia matokeo live kupitia K24 ya Kenya! Acha kusubiri taarifa za Habari angalia vitu live!
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Na huyo mamvi ni kijana wa wapi?
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Hata JK ni Mzee mbona simuoni kwenye list hapo?
 
Moderators hapo kwenye red vipi ? Huyu jamaa naona anatafuta ban kwa nguvu zake zote.
my web ushauri wangu kwako ni kwamba "usianzishe ugomvi wa kurushiana mawe uswahilini ilkhali wewe unaishi kwenye jumba la vioo".

Ur master piace achana naye
 
What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC
 
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!

Ina maana kura za NYANZA, KISII NA UKAMBANI hazijawasilishwa bado?
 
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!


Ni kweli!!! maana watu naona tayari tuko hoi.
 
Back
Top Bottom