Kwani kila anayeenda Ikulu anaenda kuiba??Kwani ikulu wanaenda kukwapua na kutoka spidi...hawaendi kuiba simu mkuu.Ujana wewe ndiyo unaokufaa kwa hiyo shughuli yako
Really? I thought Uhuru is running for public office like any other citizens. It is Kenyans to decide whether they want him or not. ....ohh..nearly forgot....familiar with democracy cliche from our big brother? Probably you are...
Ina maana kura za NYANZA, KISII NA UKAMBANI hazijawasilishwa bado?
odinga ndio msindi japo katika duru ya pili we subiri odonga ataongoza japo hafikishi 50%
11:50am: A United Republican party supporter was found with a copy of fake voters register with names of registered voters and has been arrested.
Simkubali Raila Odinga tangu alopojiunga na ile serkali ya mchina kama vile Maalim Seif kule visiwani,
All da best kamanda Uhuru Kenyatta.
Mbona hapa nimetumia kiswahili kirahisi umeulizwa ninani kwa wewe ungetaka ashinde unasema wote!!Kweli mitahala yatanzania nitatizo!Yeyote atakaye chaguliwa na wakenya kihalali.
itu cha muhimu zaidi kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu uchaguzi.
Usitoke povu hadi sasa ni 25% YA KURA ZILIZOZOHASABIWA. Ushabiki unaweza kukulemaza tunazungumzia taarifa kwa nini niamini DW wakati naweza kulinganisha taarifa.
Hiki ni chama kinaongozwa na nani? United Republican Party - URP
shida kuna watu bado ni wagumu kuamini humu, ngoja tuwape muda mpaka jioni ndo wataamini maana asubuhi walisema tuwape muda mpaka mchana, sasa naona hali ni ile ile tu