March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Alafu odinga alete chokochoko zalke tena atutomwacha lazima aungane na kesi ya kenyata
 
Wamarekani wanaua huko hawapelekwi ICC ...alafu cha ajabu sasa prosecutor sasa hivi mweusi ...kuna mgombea mmoja wa kenya. Aliongea point inakuwaje mnashtaki serikali kwa uchochezi na mauaji lakini mnamuacha kiongozi namba 1,2 mnaenda kwa uhuru namba 3 haiingii akilini .Ngoja Uhuru ashinde alafu tuone mziki wake ...
 
Really? I thought Uhuru is running for public office like any other citizens. It is Kenyans to decide whether they want him or not. ....ohh..nearly forgot....familiar with democracy cliche from our big brother? Probably you are...

Hivi laila ni msukuma au ni?
 
Ina maana kura za NYANZA, KISII NA UKAMBANI hazijawasilishwa bado?

Kura za sehemu zote hizo including Coast, Busia, Homa Bay, Siaya na Kisumu zipo kwenye hiyo idadi ila sema hawajamaliza kuhesabu kura zote!!! Wanaotarajia mabadiliko kutoka hali ya sasa, hawataki kukubaliana na ukweli kwamba most likely Raila anapoteza kwenye hii round ya kwanza tu.

Tiba
 
itu cha muhimu zaidi kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu uchaguzi.
 
My girlfriend thinks Raila Odinga has the best manifesto..

I have no preference!

Well...nawaombea amani tu!!!
 
11:50am: A United Republican party supporter was found with a copy of fake voters register with names of registered voters and has been arrested.

Hiki ni chama kinaongozwa na nani? United Republican Party - URP
 
Simkubali Raila Odinga tangu alopojiunga na ile serkali ya mchina kama vile Maalim Seif kule visiwani,

All da best kamanda Uhuru Kenyatta.


Sawasawa...
Yaani wewe na mimi letu ni moja.
Kuna watu walipoteza maisha kwa ajili ya kumpigania yeye awe Rais, lakini akaja kujamba na kumwachia nchi Kibaki...

Shame on you Jaluo
 
Yeyote atakaye chaguliwa na wakenya kihalali.
Mbona hapa nimetumia kiswahili kirahisi umeulizwa ninani kwa wewe ungetaka ashinde unasema wote!!Kweli mitahala yatanzania nitatizo!
 
itu cha muhimu zaidi kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu uchaguzi.

shida kuna watu bado ni wagumu kuamini humu, ngoja tuwape muda mpaka jioni ndo wataamini maana asubuhi walisema tuwape muda mpaka mchana, sasa naona hali ni ile ile tu
 
Usitoke povu hadi sasa ni 25% YA KURA ZILIZOZOHASABIWA. Ushabiki unaweza kukulemaza tunazungumzia taarifa kwa nini niamini DW wakati naweza kulinganisha taarifa.

Ungekuwa umelinganisha taarifa nisingekuuliza BBC wamesemaje-kwa matokeo nyaliyopo hadi sasa ya 57% kwa $40%
nina haki ya kutoka povu nawe pia kugugumia ni stahili yako!
 
shida kuna watu bado ni wagumu kuamini humu, ngoja tuwape muda mpaka jioni ndo wataamini maana asubuhi walisema tuwape muda mpaka mchana, sasa naona hali ni ile ile tu

Hao wanaobisha inabidi wakubali mojawapo kati ya haya mawili 1. either matokeo hayaji kutoka poll centers randomly au 2. hawajui principles of statistics.
 
Though only 30% of vote have been counted its obvious Uhuru will occupy State House. Momentum and remaining vote count,his strongholds dictate this reality. What this means is no more vitendawilis,childish football analogies,public temper tantrums,embarrassing international incidents and fake crowd pleasing ploys. Which in itself is cause for celebration. Even better is that Uhuru will lead us all forward to a better place. "Our national trajectory toward middle income status started by Kibaki can continue. On an equally happy note the endless bleating and whining without performing that accompanied Raila Odinga's time in government and is his singular style has been rejected by most Kenyans" Karanja'z Place: PRESIDENT UHURU KENYATTA
 
No more update????? what is this digital era????? amazing indeed!!!!!
 
Back
Top Bottom