itu cha muhimu zaidi
kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru
kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya
yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza
kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu
uchaguzi.
Team Raila imefanya nini?
we are going to win this mkuu
Kwako wewe mtanzania
unayefuatilia matokeo ya ya uchaguzi kenya je ungependa ninani ashinde
katika uchaguzi huu??
Mambo bado wewe
wazungu wanaumiza kichwa vijana WENYE FILE KWA BI FATOU BENSOUDA WANAICHUKUA NCHI
Naona jahazi la ndugu yetu Raila linazidi kuzama tu. Inabidi atumie ubaharia upi sijui kupindua upepo mbovu kwake. anyway time is the speaks louder
wazungu wanaumiza kichwa vijana WENYE FILE KWA BI FATOU BENSOUDA WANAICHUKUA NCHI
only 30% of the votes are counted?, wait abit.Though only 30% of vote have been counted its obvious Uhuru will occupy State House. Momentum and remaining vote count,his strongholds dictate this reality. What this means is no more vitendawilis,childish football analogies,public temper tantrums,embarrassing international incidents and fake crowd pleasing ploys. Which in itself is cause for celebration. Even better is that Uhuru will lead us all forward to a better place. "Our national trajectory toward middle income status started by Kibaki can continue. On an equally happy note the endless bleating and whining without performing that accompanied Raila Odinga's time in government and is his singular style has been rejected by most Kenyans" Karanja'z Place: PRESIDENT UHURU KENYATTA
Kura za sehemu zote hizo including Coast, Busia, Homa Bay, Siaya na Kisumu zipo kwenye hiyo idadi ila sema hawajamaliza kuhesabu kura zote!!! Wanaotarajia mabadiliko kutoka hali ya sasa, hawataki kukubaliana na ukweli kwamba most likely Raila anapoteza kwenye hii round ya kwanza tu.
Tiba
Mr. Professional...anyway time is the speaks louder
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.belskon.